Kuna ambao hapa wanasema kila siku tunataka nchi ya amani na kufuata sheria sasa je watekaji wanafuata sheria
Kama serikali inafuata sheria na katiba kwanini Polisi na usalama wanateka watu? hiyo...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa...
Hii haina tofauti na ile iliyoitwa zawadi ya TZS 150,000,000 kwa Askofu Shoo wa KKKT - Dayosisi ya Mount Kilimanjaro (iliyolifikia kanisa kwa mkono wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA by then)...
Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa wameondolewa, wapya wameingizwa na wengine kuhamishwa wizara huku kadhaa wakiendelea kushika...
Baada kuvuka vizingiti na hatimae chama cha CCM kuamua kumpitisha kama mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini.
Sasa ndugu Makonda anaenda kuchukua fomu katika ofisi za wilaya za CCM.
Barabada...
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kesho Mei 04, 2025 atachukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama hicho kumteua kuwa Mgombea wa Jimbo la Kigoma Mjini ambapo...
Tumekusikia Steve Mkapa!
Mpayukaji wa Msemahovyo
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
KATIKA jitihada zake mfu za kuwasafisha na kuwatetea wazazi wake, kijana Steven Merinyo Mkapa alijikuta...
In August 1998 A grand terror attack in Tanzania US Embassy.
In August 25th another terror act in Amercan Embassy in South Africa.
#South Africa#
An explosion on 25 August in the entrance of...
“Kuna watu wengi jana na leo wamenipigia kuhusu yanayoendelea kwenye teuzi za CCM na wengi wanasema kutokana na vurugu, kuumizana, migogoro na chuki ambazo ziko ndani ya CCM kwamba hii ni fursa...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mh. Tulia amemhakikishia mpambe wake Esther Matiko kuwa atapitishwa kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Tarime kupitia Chama Cha Mapinduzi.
Esther...
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, ina viongozi. Yafuatayo ni majina ya baadhi ya viongozi ambao, kama utaombwa kuyaelezea au kuwaelezea unavyowakumbuka, wapenda, wachukia, ubora, uhovyo, nk...
Kwa wale wakongwe tulisoma shule ya msingi vile vitabu vya Someni kwa Furaha tunakumbuka. Kuna ile hadithi mtoto anamwambia mwenzake simile motokaa yangu.
Anamtahadharisha asimuharibie kigari...
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, akizungumza na Wawakilishi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Baraza la Kidigitali linalotarajiwa kuketi saa 4:30 asubuhi Agosti 27, 2025.
Taarifa iliyotolewa na CHADEMA leo Agosti 25 imeeleza:
Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya...
1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki.
2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa...
Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya...
Hawa polisi mbona kama wanamtetea Dogo janja kwanini wamsemee yeye tu na si kumskiliza na aliyejeruhiwa? Wanasema alivamiwa, alivamiwa kivipi mtu yupo kwenye gari lake? mbona wanajaribu kufukia...
Watanzania washajifia kiakili kwahiyo MTU aendelee kujisumbua kuwatetea hawa watu ujue ajutambui.
@Tundulissu achana na huo mchezo mjinga huwa haoambaniwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.