Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga, Ramadhan Omary Agosti 24, 2025 ameongoza kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Tanga kilichoketi kwa ajili ya masuala mbalimbali ya Jumuiya ndani ya Mkoa huo kuelekea...
Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela.
Baadhi ya...
Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania
1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe .
2)Chama...
Hivi sasa Wanasiasa wetu walio wengi wamejikuta wako uchi mfano wapinzani imethibitika kuwa siyo Wapinzani ni kwamba wako uchi
Covid 19 wanagombea kupitia ccm maana yake wamejikuta wako uchi...
Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo.
Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama...
Mbona tayari mambo yalikuwa yashaisha?
Kushitukia, tayari kukaomba mkopo sjui wa kufanya nini na wakati Korona ilikuwa tayari ishapita
JPM hakutaka hiyo mikopo tena kwa wakati ambapo nchi...
Kwakuwa wameamua kushupaza shingo. Hawataki kufanya reforms.
Na kwakuwa mamlaka waliyonayo yanatoka kwetu sisi wananchi japo wao wanadhani yanatoka kwa 'WAHUNI' in Balozi Polepole's voice. Hebu...
Hapo vipi.
Naona kuna vita ya visasi bado inaendelea baina ya familia hizi 2 za kisiasa, na hili ni kwasababu familia moja, ina nguvu ya maamuzi katika kipindi hichi.
Mimi ni mmojawapo wa mtu...
Rais Samia Suluh Hassan, Afanya Tanzania kama Kitovu cha Nishati Afrika Mashariki
Serikali yake imeanzisha mikataba ya kuunganisha gridi na nchi jirani (Kenya, Zambia, Burundi, Uganda).
Hii...
Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili...
Watu wachache sana nimeambiwa na waandikishaji 7. Kati yao 4 ni kutoka Dar. Wanasema mwitikio ulikuwa mdogo sana pamoja na kuongeza siku za kuandikisha bado watu hawakujiandikisha.
Kuna mambo...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki...
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu.
Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia...
TAARIFA KWA UMMA
Kurugenzi ya Habari na Uenezi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inautaarifu umma kuwa Bw. Gerva Bernard Lyenda ameteuliwa kuwa Mkuu wa Idara ya Habari wa Kurugenzi...
"Mimi natamani rais wetu ajaye awe na umri kama wangu wakati nilpoingia madarakani wakati ule,..,umri wa miaka miaka 55..kwa sababu hizi kazi zinachosha sana ukiwa na umri mkubwa"
Hayo ni maneno...
Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya...
KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi...
Mwanzoni mwa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM mwaka 2005, wengi walitarajia Dr Salim Ahmed Salim angelichaguliwa kwa kura nyingi kutokana na ukweli kwamba yeye ndiye alikuwa anaonekana...
WanaJF,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Matukio kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Urais, Ubunge na Udiwani 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.