Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam, nilihudhuria mkutano mkuu wa Chadema uliofanyika ukumbi wa Kiramoo ulioko Mbezi Beach Sec School. Siku ya kwanza ulianza kwa maandamano na kufuatiwa na hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na...
0 Reactions
318 Replies
29K Views
Likiwa ncha yake imeelekezwa kwenye jua katika uwanja wa gwaride huko Beijing, makombora ya Jeshi la Jamhuri ya China yalisogea polepole kupita umati wa watu waliokuwa kwenye kundi moja la lori...
0 Reactions
4 Replies
795 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kwela, Mkoa wa Rukwa Deus Sangu siku ya leo amechukua fomu ya kugombea ubunge ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wote kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Sheikh Iddi Abdallah Chaurembo (Bubu Kasema) Akishiriki Kongamano la Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, leo 24 Agosti, 2025 amewataka wale wote wanaowaza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua...
1 Reactions
3 Replies
356 Views
DENI LA TAIFA NI CHACHU YA MAENDELEO KWA WATANZANIA SIO MZIGO Mwanaharakati huru Tanzania Katika mijadala ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, hoja ya deni la taifa imekuwa ikibeba hisia kali...
0 Reactions
43 Replies
2K Views
Watanzania wazalendo kwa nchi yao wanajiuliza kwa jinsi jua lilivyokali mwaka huu hivi ingekuwaje mgao wa umeme kama Hayati Magufuli asingejenga bwawa la umeme la mwl Nyerere?. Ni majenereta...
9 Reactions
18 Replies
940 Views
📍𝐊𝐎𝐍𝐆𝐖𝐀 🗒️ 25 𝐀𝐆𝐎𝐒𝐓𝐈 2025 Mgombea Ubunge Jimbo la Kongwa kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Ndugu Isaya Mngurumi Moses amechukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Kongwa mapema leo kwenye ofisi...
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Wasalaam. Kuna taarifa za ndani kabisa kutoka mikoani kwamba ccm imetoa barua za kuomba kuchangiwa kampeni zake za uchaguzi zinazotegemewa kuanza wiki ijayo. Swali fikirishi ni kwamba zile bilion...
6 Reactions
14 Replies
948 Views
Huku Sumaye na Lowassa, kule Mengi na Rostam, tusubiri AMA kweli Wahenga walisema; ndugu wakigombana chukua jembe ukalime,siku wakipatana chukua kapu ukavune. Lakini pia upo usemi wa wanasiasa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mnamo mwezi wa nne au tano hivi mwaka huu, sehemu ninayo kaa wakijua kuwa mimi ni kada, alikuja mjumbe kuandikisha namba yangu ya NIDA. Nami sikusita kutoa ushirikiano. Hata hivyo nilijiuliza...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana. Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm . Ni kupoteza Muda . John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Jimbo la Kawe ndio Jimbo mama, Jimbo konki lenye vibopa kuliko Jimbo lolote la uchaguzi hapa nchini. Jimbo la Kawe ndio Lina Oyster Bay, Masaki, Msasani Peninsula, Mikocheni, Kawe Beach, Mbezi...
2 Reactions
8 Replies
646 Views
Unajua kila siku nikiamka asubuhi najiuliza hili swali lakini sipati jibu, Ina maana CCM wote hakuna mtu yeyote Mzalendo kama Magufuri ili aweze kuzisimamia rasilimali zetu? Huyu Mama kawapi...
2 Reactions
3 Replies
257 Views
Wanabodi, Kuna msemo usemao numbers don't lie, hili ni bandiko la numbers na data, kama sio mzuri wa mathematics na arithmetics nakushauri bandiko hili bora ulipitie mbali and save your time...
35 Reactions
192 Replies
30K Views
Wanabodi, Haya ninayoyaandika hapa, yanatoka ndani kabisa ya moyo wangu na ninaandika kwa uchungu!, kwa mtu yoyote ambaye alikuwa na matumaini ya labda 2015, tunaweza kupata mabadiliko...
26 Reactions
197 Replies
25K Views
napita tu This is faith
0 Reactions
2 Replies
380 Views
Wanabodi, Tangu kuanza kwa kampeni, Ijumaa iliyopita, ni jana, leo na kesho, ndio nimepata nafasi kutulia nyumbani kufuatilia uchaguzi kwenye Electronic Media. Jana nimeshuhudia TBC ikionyesha...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Na soma hapa Kitabu cha Mzee Mkapa na kuna Mahali aanasema kama ingetokea anakuwa Rais tena basi angetenda tofauti kabisa Inatafakarisha kiasi Mlale unono 😁🇹🇿
1 Reactions
12 Replies
549 Views
Kama ni SIASA basi nchi yetu inaongozwa kwa mihemko sana au tuliowapa uongozi hawafikirii vyema kuhusu wananchi. Kama ni Inshu critical kumtandao au shida basi wanapaswa kuitatua haraka sana...
27 Reactions
108 Replies
6K Views
Back
Top Bottom