Siri nzito uteuzi wa Dr. Hamis Andrea Kigwangala kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Nzega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri nzito uteuzi wa Dr. Hamis Andrea Kigwangala kuwa mgombea wa ubunge jimbo la Nzega

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANANCHI WA MZ, Apr 16, 2011.

 1. M

  MWANANCHI WA MZ Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni mdau wa karibu sana wa JKM,pia alipewa fungu ktk pesa za epa na akashiriki ktk kutumia pesa zile kufungua kiwanda,akiwa na wenzake MWITA,SHEWEJI na yeye mwenyewe KIGWANGALA kiwanda kikaitwa MSK Solution
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,631
  Trophy Points: 280
  MWANANCHI WA MZ, kwanza karibu jf.
  Pili ukianzisha post unaijengea hoja na ikibidi unaitetea hoja yako. Huwezi kuanzisha hoja bila kuijengea chochote, inageuka ni majungu tuu, JF sio uwanja wa kupika majungu dhidi ya watu. Ubunge wa Dr. Kingwangwala Nzenga, unaisuues zake, tangu kuenguliwa kwa Selelii, kuibuka kwa Bashe, kupigwa kwake panga na hatimaye kuibuliwa kwa Dr. Kingwangwala. Haya yote yamepelekea kuacha majuruhi wengi ambao lazima watapiga kampeni za majungu kila kona.

  Uamuzi wake wa kuwatetea wananchi wa Nzega dhidi ya unyonyaji wa Barick kwenye ardhi yao, pia unamuongezea maadui, hivyo kama una hoja ya msingi kuhusu yeye ilete ijadidiliwe, vinginevyo achana na majungu, kamweleze aliyekutuma, asitafute watu wa kufa naye kwa kuiongeza listi ya mafisadi ndani ya Chama cha Mapinduzi!.
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Narudia hivi ni bora wengine tuwe wachangiaji tu
   
 4. B H

  B H Senior Member

  #4
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna umuhimu wa kupima akili za wanaojiunga JF
   
 5. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  MWANANCHI WA MZ.
  Namuomba Mod am-ban!
   
 6. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa huyu kafanya nini! mbona thread inahang tu.
  hajasema anahusika vip......!
  hahtoa japo vielelezo vya awali........!

  kwani hata sisi si tunahusika katika hela za EPA!! kwa kupinga ufisadi na kutaka wale waloziiba wawajibishwe!!
   
 7. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #7
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,859
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Please if you don't have proofs don't Bring Hanging stories!!:sleepy:
   
 8. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #8
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  aaaaaagh!!! sasa nini tenaaa!! haya bana, umeshinda ww kwa kunilazimisha nifungue hii thread halaf nikachangia km hivi.
  anyway, karibu JF.
   
 9. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #9
  Apr 16, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tusimlaumu sana kuna thread ilianzishwa na member mzoefu na ikawa ina-hang hivi hivi.
  Kumbuka hii
  " Jk aacha kishindo dar" bahati mbaya sina utaalamu wa kuweka link ya hiyo thread.
  Kwa hiyo tuwe wavumilivu mpaka jamaa atakapoamua kutupa full details za tuhuma zake.
   
 10. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #10
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,056
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 180
  Mkuu! Umeshajua huyu ni mpika majungu, ya nini maelezo yote haya?
   
 11. M

  MWANANCHI WA MZ Member

  #11
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  fuatilieni story nzima ya uanzishaji wa kiwanda cha MSK Solution
   
 12. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #12
  Apr 16, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,631
  Trophy Points: 280
  Kama unayo si uilete?!
  lengo la thread yako hii ni nini?, eleza unachofahamu ili nasi tuelewe!.
   
 13. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Mpwa wangu, nimeoa mwanza....sasa thread uanzishe wewe, kufuatilia tufuatilie sisi??? haya bana, ngoja tutafute hapo pa kufuatilia. but next time njoo japo na details kidogo ili na sisi ambao hatuwezi kufuatilia tuujue ukweli. asante kwa kunieelewa twende tukapate mdudu
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,136
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Asante imeeleweka
   
 15. M

  MWANANCHI WA MZ Member

  #15
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeweka thred wadau,ss unajua mambo ya ugeni ktk JF plz naomba mnisamehe kwa mapingufu hayo
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  du ... thread hizi ndiyo viburudisho vya JF
   
 17. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pole ndugu karibu sana, kwa kukiri kuwa wewe ni mgeni nina matumaini hii kitu una data za kutosha, tunasubiri upakue tuanze kuchangia
   
 18. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kama huwezi kutype hoja yako moja kwa moja, andika kwanza kwa mkono pembeni, uirudie kwa kuisoma, fikiria watu wengine wataielewa na kisha uihamishie kwenye JF. Siyo kuleta vitu nusunusu hapa kana kwamba siyo Great Thinker bwana. Na usilete majungu kwani watu tupo serious hapa na ujenzi wa nchi yetu kwani mchango wetu unaonekana kwenye nchi kwani chama tumekivua gamba ingawa kinaoneka sumu bado. Sasa tunampango wa kukipatia dawa ya kuuwa sumu yake ili kisiwe na madhara kwa taifa.
   
 19. L

  LAT JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  jamani ... siku hizi kitufe cha senksi kiko wapi .....?

  very gentle ...! keep it up
   
 20. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #20
  Apr 16, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  If he is brand new and needs handholding why banish him altogether instead of assiting him?

  JF haina shareholders so let the guy be!
   
Loading...