Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Ivi mtu wanaofungwa kifungo cha maisha, hua hawapati msamaha wa rais?!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo najisikia amani sana tu. Nataka kusambaza upendo. Sasa kwa wale wanasheria wanaosoma vyuoni, au wanapenda kujisomea. Nataka kugawa vitabu vya sheria vya Cambridge. Vipya vya mwaka 2012-2016...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie sheria inasemaje? mm nimezaa na mwanamke mtoto mmoja wa kiume nikapewa tangazo Hospitali na nikaenda Rita nikachukua cheti cha mwanangu cha kuzaliwa mtoto ana miez 10. Bibi yake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba kuelimishwa, hivi mtu unayemfahamu kama ndugu akikupigia simu akakutishia kuwa atakuua ni hatua gani unaweza kuchukua??? Mtu huyo ametumia namba yake halisi na sababu ya kutoa vitisho hivyo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar wanajamii, Kwa mwenye ufahamu wa sheria inayohusiana na Financial guarantor, kwa mtu ambaye tayar amesha ajiriwa na tayar alisha saini mkataba wa kudumu wa kudumu kwa takrbani miaka zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
852 Views
UFAFANUZI KUHUSU MAFAO YA KUJITOA KATIKA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA MIFUKO. Ufuatao ni ufafanuzi mfupi kuhusu marekebisho ya Sheria za Mifuko hasa kuhusu mafao ya kujitoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa nia njema tu kabisa nauliza:(na si kwa kubeza au vinginevyo): Kwa nini hukumu nyingi (si zote nisisitize) za Mahakama kuu zikienda Mahakama ya rufaa huwa zinatenguliwa? Nimefanya utafiti usio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajukwaa Naomba mwongozo kuhusu kichwa cha habari! Sheria inasema hizi sticker zibandikwe wapi? Leo traffic kanikamata, nimebandika kioo cha mlango wa kushoto, akaniambia inatakiwa bandikwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu,nina permanent contract na mwajiri wangu ila kila mwaka huwa ananiongezea mshahara ila kwenye mkataba haijaandika huwa tunakaa nakukubaliana tu afu badae anamodify mkataba na kuongeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
“LAW AND JUSTICE IN TANZANIA”:A QUARTER OF CENTURY OF THE COURT OF APPEAL. (The Book reviewed by Rutashubanyuma Nestory.) The latest book release by Legal and Human Rights Centre-LHRC is...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mimi ni mmoja wa wahanga ambao watoto wao walidhalilishwa na kufedheheshwa na Serikali ya John Pombe Magufuli kwa kufukuzwa UDOM; yaani mwanangu ni 'kilaza' kwa mujibu wa Rais JPM. Kabla ya...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
I have entered into a year lease agreement with my landlord named Charles at a monthly rent of 40,000/= and I took possession of the premises with my landlord consent. But after a lapse of 4...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimekuwa nikishuhudia watanzania wenzangu wakishangilia na kufurahia swala zima la mahakama ya mafisadi...Na kusema kuwa kiama chao kinakuja... Binafsi nimekuwa nashindwa...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Nilidhani tu kuwa UNYANYASAJI uko tu nchi za Wenzetu lakini katika hali ya KUSHANGAZA na ya KUSIKITISHA kumbe hata hapa Tanzania kwetu hali ni ile ile na yawezekana ikawa pia imezidi japo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Naomba mnipokee
2 Reactions
0 Replies
635 Views
Kesi mbili zimenivutia na ninawasilisha kuwafanya muwe makini katika uwajibikaji na kufuata sheria za nchi: 1. ilinishangaza sana kusikia maamuzi ya mahakama ya kisutu majuma machache yaliyopita...
1 Reactions
0 Replies
832 Views
Samahan wanajf mm jana wakati nipo safar kuelekea chuon nimeibiwa begi ambalo lilikuwa na vyeti vyote yaan academic certificates form four na form six pamoja na birth certificate HV kuna uwezekano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rafiki yangu ni mtumishi wa serikalini. Mwaka 2000 aliajiriwa kama Assistant Medical Officer, na baada ya muda alijiendeleza hadi kupata Degree ya Medicine pale Muhimbili University. Katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa. .. Kama kichwa hapo juu kilivyo, ningeomba utaalamu wenu katika jambo hili ili nami niweze kuelewa vizuri.. Pindi mtu anapoingia mkataba wa mkopo, akaanza kulipa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom