Chaggabeibe JF-Expert Member May 26, 2016 249 352 Jun 8, 2016 #1 Ivi mtu wanaofungwa kifungo cha maisha, hua hawapati msamaha wa rais?!
Chaggabeibe JF-Expert Member May 26, 2016 249 352 Jun 8, 2016 Thread starter #2 Ivi waliofungwa kifungo cha maisha, kwenye swala la msamaha wa rais, Inakuaje?
MTV MBONGO JF-Expert Member Feb 18, 2016 1,261 1,222 Jun 8, 2016 #3 kichwa cha habari: hukumu ya kifo, halafu content: kifungo cha maisha. tukueleweje?