Msaada wa Kisheria!!!

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,512
naomba kuelimishwa, hivi mtu unayemfahamu kama ndugu akikupigia simu akakutishia kuwa atakuua ni hatua gani unaweza kuchukua??? Mtu huyo ametumia namba yake halisi na sababu ya kutoa vitisho hivyo ni mgogoro wa mali.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwa kua hajakuua bado unatakiwa kusubiri hadi akuue kisha sheria ichukue mkondo wake!

Sidhani kwamba una qualify kuchangia thread hii!!! Nakusamehe bure na Mungu akubariki.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Toa taarifa kituo cha police mkuu, chukua RB jamaa akamatwe ahojiwe ikiwezekana atafikishwa mahakamani na ikithibitika atahukumiwa kwa mujibu wa sheria, usipuuzie hata kama ameitoa hiyo kauli kwa hasira tu, anaweza akafanya alichokisema kuwa makini mkuu.
 
Asante sana ndugu hapa nipo Police ndio nimekuja kutoa taarifa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nakushauri toa taarifa kwa mjumbe, mwenyekiti wa mtaa, polisi na hata sehemu unakoabudia. usipuuzie wewe mwenyewe nadhani utakuwa shahidi kuwa mwaka huu kuna jinamizi la watu kuuwa kisa mali na visasi vingine. ukimaliza kusoma hii comment yangu wahi katoe taarifa haraka na yeye ajue umetoa taarifa.pole sana
 
Nashukuru ndugu tayar nimetoka taarifa Polisi na tayar wamempigia simu amejidai anaumwa so atakuja kesho polisi kutoa maelezo na Tumekubaliana na Police iwe ivyo maana tunaishi mikoa tofauti na kwakuwa ni mtu mzima pia mwenye investiment zake ni ngumu kutoroka so kesho nitaleta feedback hapa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nashukuru ndugu tayar nimetoka taarifa Polisi na tayar wamempigia simu amejidai anaumwa so atakuja kesho polisi kutoa maelezo na Tumekubaliana na Police iwe ivyo maana tunaishi mikoa tofauti na kwakuwa ni mtu mzima pia mwenye investiment zake ni ngumu kutoroka so kesho nitaleta feedback hapa.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Pole sana kwenye maukoo yetu na wana ndugu kuna mengi, kila mmoja akisema aweke yake humu JF utaona hili la kwako lina nafuu
 
Powa broo alafu hilo jina unalotumia ,Chikira, ni kama linatoka kulekule kwetu??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Powa broo alafu hilo jina unalotumia ,Chikira, ni kama linatoka kulekule kwetu??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwenu ni wapi my ndugu? funguka labda wewe ni ndugu yangu
 
Jina la kipare!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hata Mimi kuna jamaa KUNA jamaa Julius mtatiro wa M waloni KIRUMBA MWANZA alinitishia kwa msg na Maneno Kwenye cm nikamrekodi. naipeleka taarifa direct kwa Rpc na nikamaliza mchezo nilitoa na audio. namwindaga tu
 
Back
Top Bottom