WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,426
- 1,431
Wakuu,nina permanent contract na mwajiri wangu ila kila mwaka huwa ananiongezea mshahara ila kwenye mkataba haijaandika huwa tunakaa nakukubaliana tu afu badae anamodify mkataba na kuongeza mshahara.Kwa sasa naona kampuni inakya kidogo nataka haya mambo ya kukaa na meneja wangu yaishe.Nataka tuandike ongezeko la mshara kimkataba kabisa iwe najua kila mwaka inapanda shilingi ngapi.Kwa utaratibu kila January ananipandishia...ila kwa sasa nataka nibadilishe awe ananipandishia kila mwezi wa saba je,nitakua niko sawa kisheria nikiruse hoja hii kwa mwajiri wangu ikumbukwe tu alinibadilishia mshahara mwezi huu wa kwanza?
Asanteni
Asanteni