Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanasheria naomba kujua muathirika wa serikali kukataa kutekeleza amri ya mahakama ambapo serikali imeshindwa kesi anaweza kuchukua hatua gani kupata haki yake? Mfano labda inapashwa kukulipa...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mwajiriwa na nina mkataba wa miaka miwili ambao unaisha tarehe 01/10/2016.
Hivyo, naomba kufahamishwa haki zangu au malipo yoyote baada ya kumaliza mkataba huu wa kazi...
habar wadau, naomba kufahamishwa kuhusu sheria ya ujenz wa mabarabara na kuelekeza maji yake kwenye makaz ya watu.maana huku kwetu kuna barabara imejengwa na maji yake yameelekezwa kwenye mij yetu...
Wasaalam..
Habari ya wakati huu wan JF..
Naomba kupata msaada..
1. Ikiwa Hakimu amekataa kusaini hati ya hukumu ni nini naweza kufanya kisheria
2. Mda wa rufaa wanaanza kuhesabu toka siku ya...
1. Ardhi katika nchi hii inamilikiwa na dola ao mwananchi?
2. Ardhi kuwa shamba, kiwanja cha makazi /biashara n.k hurasimishwa na mamlaka husika, je sisi tuliojenga,kuendesha kilimo n.k huku...
Mukisa Biscuit Manufacturing Co. Ltd v. West End Distributors Ltd [1969] E.A. 696
July 31, 1969. The following considered judgments were read:
LAW, J.A.: The Suit out which this appeal arises...
Ndugu wanabodi naomba ushauri wenu wa kisheria kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. Kuna jirani yangu ameweka gereji bubu katika maeneo ya makazi ya watu, ambapo sasa sisi wakazi tunaathirika...
Kumekuwa na kampuni nyingi sana za mawakili (Law Firm) Tanzania. Ila zifuatazo zitabaki kuwa Law firms kubwa ziku zote na zenye huduma bora Tanzania.
1. FB Attorneys – Dar Es Salaam
2...
Nataka nikamshtaki jamaa mmoja baada ya kumpa simu yangu leani kwa elfu20.
Akaniambia angetoka na kurudi baada ya cku kumi, lakni jamaa alikaa hadi cku 30.Alipo fika jamaa hakuwa na cm zaidi ya...
Habari ndugu,
Kuna mtu kanitukana, bahati mbaya zaidi niko mbali nae. Sasa nahitaji mwongozo ktk hili. Nahitaji kumshtaki na kufika mbali zaidi, sababu ni matusi yasiovumilika. Pia katukana kwa...
Ni wiki sasa imepita tangu Mtendaji kata alipochukua vifaa vyangu vya pool table kwa kosa la kufunguliwa kabla ya muda.
Lakini kila nikimfuata anadai hajisikii kunipa na atakapojisikia kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.