Financial Guarantor

Muntu

Member
Dec 22, 2011
32
5
Habar wanajamii,
Kwa mwenye ufahamu wa sheria inayohusiana na Financial guarantor, kwa mtu ambaye tayar amesha ajiriwa na tayar alisha saini mkataba wa kudumu wa kudumu kwa takrbani miaka zaidi ya minne, kisha mwajili akatoa Financial guarantor ukamilishe ndani ya siku tisa, pia fomu hiyo ina vipengele vya kutakiwa guarantee akaape mahakamni, baadhi ya vipengele kama:

(1) guarantee awe tayar kulipa financial loss/ damage of company or property on the part of the person who is guaranteed within a period of one month from the date of notice by the company, and shall pay and accept total responsiblity to the company

Kwa wenye ujuzi wa sheria, kwa hapa hivi financial guarantor inatakiwa kujazwa unapo anza ajira au
Hata kama tayar upo ndani ya ajira muajili akaamua kutoa fomu hii, tayar umeshafanya kazi kwa takrbani miaka kadhaa. maaana kila guarantor ninae mplekea fomu anakataa kwa uona vipengele kuwa vigumu mno.
Ahsante sana.
 
Back
Top Bottom