vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Habari wadau,
Nimekuwa nikishuhudia watanzania wenzangu wakishangilia na kufurahia swala zima la mahakama ya mafisadi...Na kusema kuwa kiama chao kinakuja...
Binafsi nimekuwa nashindwa kuparticipate katika furaha hiyo kwa sababu hili swala bado sijalielewa, nimeamua leo nije jukwaa hili adhimu kuomba ufafanuzi wenu...
Nini hasa faida za mahakama hii?...Nini haswa kinachokusudiwa panaposemwa "Mahakama ya mafisadi"?..Je itaambatana na sheria mpya zihusuzo ufisadi na mafisadi?..Kama hapana basi ni kipi kilichokosekana katika mahakama za jinai nyingine ambacho kitapatikana kwa kuwa na mahakama maalumu ya mafisadi?....Na kama itakuja na sheria mpya, basi kuna ulazima gani wa kuwa na mahakama hii, nini tatizo katika hizi mahakama zilizopo mpaka sheria mpya zihitaji mahakama mpya?
Naomba ufafanuzi wa kielimu ya sheria kwa wanaolifahamu kwa undani suala hili, naomba nisijibiwe kishabiki wala kichama...
Ahsante...
Vampire Hunter