Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

wakuu mambo vipi? Naitaji Mwanasheria Ambae ataweza kunisimamia kwenye ishu yangu ya mgogoro wa kiwanja... kuna mtu aliniuzia kiwanja ila badae nimekuja kugundua kuwa amemuuzia na watu wengine 2...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Habari wanaJF, Leo nimeona ni vyema tukajuzana juu ya mkataba wa huduma kwa wateja wa shirika letu la umeme Tanzania au TANESCO. Kwasababu huu ni mkataba nimeona ni vyema niweke kiambatanisho cha...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wanajamii naomba mnisadie ushauri wa kisheria, Marehemu baba yangu alikuwa anamiliki eneo lenye nyumba na mabanda ya biashara, lenye Certificate of Ocupancy ya mwaka 1980 na kibali cha kuendeleza...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Naomba mwenye pdf Ya code of good practice and regulations GN 42/2007 ============================ Published on: PDF copy from Tanzanian Parliament website, 2004 PDF 470KB Legislation on-line...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Naomba msaada wa kisheria wadau, Ikiwa hakimu ametoa hukumu na mshtakiwa akashinda kesi, hakimu akaruhusu ikiwa mlalamikaji hajaridhika anaweza kukata rufaa ndani ya siku 30, Je mshatakiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Nimejitokeza hapa jukwaani kuuliza swali hili ili nipate ufafauzi wa kisheria. Je, kuna sheria yoyote iliyotungwa na Bunge la JMT inayombana mfanyabishara kuuza bidhaa? Na kama...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wapendwa! Naomba kuuliza ni taratibu zipi zinatakiwa kufuatwa za kubadili jina mahakami! Nina mdogo wangu ambaye alisoma Tanzania mwaka darasa la saba na kufaulu kwenda sekondari ila kwa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
IGP Mwema aunda timu kuchunguza mauaji ya Dar Itabainisha kama ulikuwa ni utekaji nyara au la Kamanda Kova kuitangaza hadharani ripoti hiyo leo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Naombeni msaa wa kujua ni sheria gani inalinda wazo la ubunifu au hatimiliki ya ubunifu wa vitu kama michoro ya nyumba,software ,musiki,mitambo na vitu mbalimbali vya ubunifu sheria na adhabu yake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna kijana flani alikuwa anafanya kiwanda cha wachina cha kutengeneza magunia. Amekuwa mfanyakazi wa hicho kiwanda kwa muda wa miaka minne na miezi tisa lakini kama walivyo wachina, hakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tujiulize swali hili: was the decision of the Resident Magistrate an interlocutory decision in terms of Section 5(2)(d) of the Appellate Jurisdiction Act, 1979 and therefore not subject to appeal...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni kesi ya ajira ninayotarajia kufungua hapa CMA mjini Iringa. Kesi yenyewe ni unfair termination yaani mwajiri kakatiza mkataba wangu kiuonevu. Taratibu za kumwachisha kazi mwajiriwa ninazijua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Salamu wana jamii, kuna jambo linanitaza naomba kueleweshwa. Hivi karibuni nimewasikia wabunge wa upinzani wakimlalamikia Rais JPM na serikali yake kuwa kitendo chake cha kutumbua majipu...
1 Reactions
2 Replies
808 Views
Naomba ufafanuzi wa mirathi ya wake ewawili. Nina kaka yangu aliyefariki miaka miwili iliyopita akiwa na wake wawili. Mke wa kwanza alifunga naye ndoa kanisani na amezaa naye watoto wanne na Mke...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
kutoa mimba ni uuaji wa kikatili kwa kiumbe kisicho na hatia tena kisichoweza kujitetea. visa vya utoaji mimba yaani uuaji wa watoto ambao hawajazaliwa ni vingi. sijui kwanini wanaotoa mimba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nizipi haki zako pindi ukipandishwa cheo au kutoka nafasi ya chini kwenda nafasi ya juu bila ongezeko la mshara wala grade.. mfano..ulikuwa cashier now wana kukomfemi kama accountant then unapewa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF ,natumaini wazima ,kuna tatizo ambalo lipo ila hili nitaliandikia uzi wake hapa hapa hili nilakuhusu kesi ya mpka baina yetu na jirani yetu ,ila hili limezaa hili la picha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba msaada wana jamvini, sheria inawezaje kumhukumu mtu ambaye bila ya ruksa kaweka number ya msichana mmoja kwenye mitandao na kudai kwamba eti anatafuta mchumba, wakati siyo kweli... sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa ufupi Hakimu Mkazi wa wilaya hiyo, Agnes Mhina alisema upande wa mashtaka umethibitisha kosa hilo pasipo kuacha shaka kuwa Juma Omari (30) na Samwel Shoo (23) walitenda kosa hilo. By Hussein...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naishi hapa karibu na Micasa lounge Riverside. Wamekua wakipga muziki kwa sauti kubwa sana,kiasi kwamba houses within 200m kutoka hapo bar tunapata shda sana. Yaani usiku kama huu sauti iko...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom