Wanajukwaa
Naomba mwongozo kuhusu kichwa cha habari!
Sheria inasema hizi sticker zibandikwe wapi?
Leo traffic kanikamata, nimebandika kioo cha mlango wa kushoto, akaniambia inatakiwa bandikwa kioo cha mbele!
Nmewahi kusoma kuwa zinatakiwa bandikwa upande wa kushoto, hawakusema kioo cha mbele au pembeni!
Nahitaji mwongozo sahihi