tare
Member
- Dec 2, 2014
- 96
- 39
Samahan wanajf mm jana wakati nipo safar kuelekea chuon nimeibiwa begi ambalo lilikuwa na vyeti vyote yaan academic certificates form four na form six pamoja na birth certificate HV kuna uwezekano wa kuvipata hvyo vyeti may be kurenew? Make I'm so stressed naomba msaada wenu