Hili kuhusu mifuko ya penshen kutotoa hela hata ukiresign mpaka ukifika umri wa kustaafu limekaaje

rubby110

Member
Apr 4, 2012
20
6
kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
 
Back
Top Bottom