Msaada: Sheria inasemaje kuhusu kuchukua vyeti viwili vya kuzaliwa RITA kwa mtoto mmoja?

tengi

Member
May 29, 2016
25
5
Naomba mnisaidie sheria inasemaje? mm nimezaa na mwanamke mtoto mmoja wa kiume nikapewa tangazo Hospitali na nikaenda Rita nikachukua cheti cha mwanangu cha kuzaliwa mtoto ana miez 10.

Bibi yake mzaa mama cna maelewano nae mazuri na huyo bibi anauwezo kidogo wa fedha na yeye ameenda Rita tawi la Magomen ametengeneza cheti kingine cha mtoto cha kuzaliwa.

Naomba mnisaidie nichukue hatua gani...cheti nilichopewa mimi kinasoma jina Mudathir na alichopewa bibi kinasoma Kelvin.
 
naona kuna harufu ya kosa la jinai hapa. ilikuwaje ukapata viwili bila kugushi? kuwa makini.
 
Back
Top Bottom