Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kesi mbili zimenivutia na ninawasilisha kuwafanya muwe makini katika uwajibikaji na kufuata sheria za nchi:
1. ilinishangaza sana kusikia maamuzi ya mahakama ya kisutu majuma machache yaliyopita...
Samahan wanajf mm jana wakati nipo safar kuelekea chuon nimeibiwa begi ambalo lilikuwa na vyeti vyote yaan academic certificates form four na form six pamoja na birth certificate HV kuna uwezekano...
Rafiki yangu ni mtumishi wa serikalini. Mwaka 2000 aliajiriwa kama Assistant Medical Officer, na baada ya muda alijiendeleza hadi kupata Degree ya Medicine pale Muhimbili University.
Katika...
Habari zenu wanajukwaa. ..
Kama kichwa hapo juu kilivyo, ningeomba utaalamu wenu katika jambo hili ili nami niweze kuelewa vizuri..
Pindi mtu anapoingia mkataba wa mkopo, akaanza kulipa...
kwa niliyoyaskia ni kwamba mtu sasa uki resign kazi huwez kupewa hela yako mpaka ufikie umri wa kuresign.. je kuna sheria mpya iliotolewa kuongelea hili.. msaada
Habari ya saa hii
Naomba kukumbushwa kwa wajuzi wa sheria
Katika sheria ya ajira na mahusiano kazini mwaka 2004
naomba mnikumbushe ni kipengele kipi kinampa mtumishi wa umma hiyari kuchangia...
Wanasheria mlioko humu naombeni msaada
Nahitaji kumfungulia Makonda mashtaka kwa makosa ya kumtuhumu Wilson Kabwe bila ushahid
Kuwa aliingia mkataba wa kifisaidi ubungo
Na pia kumdharirisha...
Naombeni kama kuna mtu anafanyakazi tigo au anafahamiana na mtu wa tigo,anisaidie jinsi gani naweza kupata evidence ya mawasiliano kuna mtu ameiba bajaji yetu..
Wanajukwaa nakerwa na tabia hii ya uvutaji was sigara hadharani has a kwenye sehemu za burudani kama mikahawa,baa,n.k .Je ni hatua zipi kisheria unaweza kuchukua dhidi ya RAIA kama huyu? Wengi...
Tanzania ni moja kati ya mataifa yaliyo na sheria ya kunyonga hadi kufa. sheria hii haifai na ni kinyume na haki za binadamu na mapenzi ya Mungu. Ktk historia ya nchi yetu marais wamekuwa hawatii...
Wito wa maandamano kwa Watanzania wote tarehe 21/11/2013 nchi nzima kushinikiza yafuatayo:-
1. Sheria iwe na haki sawa kwa watanzania wote. Kapuya afungwe miaka yake 30 yaishe.
2.Wote waliohusika...
Ndugu wanaJF,
Ninaomba msaada wa kisheria katika swala zima la elimu najua jukwaa hili wapo waataaam wa mambo haya
Sheria zinasemaje au zinatakaje kwa mwalimu aliye bainika kumfelisha mwanafunzi...
Niliajiriwa na kampuni fulani ya binafsi hapa Dar. Taratibu zote za ajira zilifuatwa. Bahati mbaya nikiwa nimetimiza miezi miwili kukatokea kutoelewana pale kazini kati yangu na mmoja wa wamiliki...
Mama Kairuki na Afande Mlowola, tunaomba mtupe definition ya FISADI. Hii ni muhimu kwa vile ile mahakama mnayoianzisha (christened mahakama ya mafisadi), itashughulika na mafisadi. Sasa fisadi ni...
habarini
kuna rafiki yangu hapa, so far ni mwaminifu, ila anataka nimkopeshe 4,000,000 ili ajazie kwenye working capital ya biashara yake
makubaliano ni atakuwa ananilipa 5% ya deni kila mwisho...
wanasheria shikamoni,
Ninahisi kuwa sheria ya nchi yetu inasema mwanamke akibakwa na mwanaume zaidi ya mmoja, au hata mmoja anatakiwa afungwe, naomba kujua kama ni kweli na ni kifungu gani...
Habari wanajamvi!
Sorry naomba msaada namna ya kubadili matumizi ya ardhi kutoka kwenye makazi kwenda kwenye biashara kwa surveyed area.
Ushauri wenu nitaomba ujikite kwenye haya:
1. Ni sheria...
Polisi wanapomshikilia mwenyekiti au Mjumbe wa serikali ya mtaa kwamba alitoa Barua ya kumtambulisha mwananchi ili aweze kumdhamini nduguye aliyekàmatwa kwa kosa la kuiibia maji dawasco. Mtuhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.