Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nimeshuhudia Public Prosecutors and sometimes advocates wakisema UONGO ili kushinda kesi!
Tafadhali someni hii article hasa Public Prosecutors iwakumbushe wajibu wenu. PUBLIC PROSECUTORS! MUST READ
Mimi naitwa Marco Mhagama,niliona mke 2013 mwezi wa 6 akapata mimba mwezi wa 11 akajifungua tarehe 29/7/2014 kipindi tunaoana alikua anasubiri ajira ya ualim .Alipo ajiriwa mke huyu akapangiwa...
Ndugu zanguni naombeni msaada wa kisheria ....Mimi ni mwanafunzi wa Elimu ya juu mwaka wa pili...
Kuna kijana nilimuagiza laptop Iringa huyu kijana tunasoma nae ...ila mpaka sasa hajarejea chuo na...
Naomba msaada:-
Hivi unapotaka kununua kiwanja ni hatua/mambo gani muhimu unatakiwa kuyafanya kabla ya kununua ili kuepuka utapeli unaoweza sababisha mgogoro?Namaanisha kiwanja sio shamba.
Are expenses such as insurance, wages&salaries, motor expenses included in the calculation of V.A.T? and when expenses are standard rated what is their meaning on vat calculation,,
I will be...
Mzee(Baba) alitumia Hati ya Nyumba ya familia kukopea mkopo CRDB Milion 9 pasipo wanafamilia kujua(alikopa kwa siri bila kufata utaratibu) na sahihi ya mke(Mama) ilifojiwa.
Kama familia...
Naomba kujua kama mahakama ya MAFISADI ndiyo itakuwa final katika kesi zitakazofikishwa kwake. Au mtuhumiwa ana nafasi ya kukata rufaa Court of Appeal.
Natumai mko poa.
Wakuu leo naomba tuanze moja kama chekechea kwenye haya maswala ya sheria.
Najua humu kuna wanasheria,mahakimu,majaji na watu wote ambao kwa namna moja au nyingine...
Hivi nyie wataalam wa sheria kuna nchi yoyote inayotumia common law system yenye sheria ya kumshitaki mwanamke aliyebeba mimba yako makusudi bila ridhaa ya mwanamme mwenye mbegu?
Wakuu natumaini mu wazima wa afya.
Ishu iko hivi, kuna rafiki yangu mmoja alifanyiwa vurugu na jamaa mmoja ivi na kupoteza kitambulisho chake cha kazi hivyo aliniomba niende nikamsaidie katika...
WADAU HABARI ZENU,
KUNA HALMASHAURI MOJA KWENYE BAJETI YA 2015/2016 IMEELEZA KUWA IMENUNUA GARI JIPYA KWA THAMANI YA MILIONI TISINI LAKINI CHA KUSHANGAZA GARI HIYO IMEKUJA NA NAMBA ZA USAJILI DFPA...
Kesi mbili zimenivutia mpaka naziweka jukwaani.
1. kwanza ni kesi iliyokuwa Mahakamani Kisutu ambako kampuni ya simu ya Tigo imeamriwa kuwalipa sh. BIL. 2. wasanii wa bongo fleva AY na MWANA FA...
Kuna kesi ya bb na bwana kuhusu nan akae na mtoto wao mwenye miaka 3. Je hii ni aina gana ya kesi? Is it a criminal case or civili case and what effects for a man?
Tunawaomba watanzania wenzetu wenye ujuzi wa mambo ya Sheria watufahamishe watanzania wenzao Juu ya Katiba Yetu inasemaje Juu ya Sheria ya Vyama Vingi.Tunaomba ufafanuzi huo kutokana Na tangazo la...
Wanasheria naomba kujua muathirika wa serikali kukataa kutekeleza amri ya mahakama ambapo serikali imeshindwa kesi anaweza kuchukua hatua gani kupata haki yake? Mfano labda inapashwa kukulipa...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni mwajiriwa na nina mkataba wa miaka miwili ambao unaisha tarehe 01/10/2016.
Hivyo, naomba kufahamishwa haki zangu au malipo yoyote baada ya kumaliza mkataba huu wa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.