Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

jf naomba kujua mfanyakazi wa mkataba anastahili kupata stahiki pindi anapohamishwa kituo cha kazi akiwa ndani ya mkataba,na je ni sheria,kanuni gani inamuongoza juu ya hili.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita kuna idadi ya kesi nyingi sana zimeanzishwa mahakamai nadhani kuliko kipindi chote since Independence, kama sasa na hawa mashoga nao watakamatwa na...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Habari ... Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Tarehe 11/01/2017 ndugu NDAHANI N. MWENDA alipoandika katika ukurasa wake wa facebook taarifa ya Mhe. PETER LIJUALIKALI mbunge wa KILOMBERO kufungwa jela miezi 6 bila kupewa alternative ya kulipa...
12 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi majuzi tumethibitishiwa kwamba Mh. Judge Donnely wa Mahakama Kuu ya USA hapo New York ameweza aliwasikiliza hoja za wanaharakati na kuamua kusimamisha kwa muda Amri ya Rais Donald J Trump...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ufafanuzi hapo wakuu kama serikali haitakiwi kuingilia maamuzi ya mahakama mbona kuna msamaha wa rais kwa wafungwa..? Kama mahakama ndio inayohukumu, kwanini rais apewe jukumu la kutoa msamaha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtoto ameumia kwa ajali ya gari kwa kujigonga ubavuni gari imepaki. Bahati mbaya amekufa. Wazazi wanasema hatutaki kesi ni kosa la mtoto. Polisi wamekomaa wanataka wapeleke mahakamani. Je sheria...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Wakuu poleni na kazi, ninaomba msaada katika hili... Nikitaka kusoma CERTIFICATE OF LAW ninatakiwa kuwa na vigezo gani?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*Tujikumbushe Sheria* Khalid Shekoloa: ( ROAD SAFETY AMBASSADORS- TANGA ) *ABIRIA NI NANI?* ABIRIA ni mtu yeyote anayesafiri kwenye chombo cha usafiri na inahusisha mtu yeyote mwenye tiketi...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Nina mdogo wangu aliazma pesa kwa jamaa mmoja maajabu muda wa kurudisha akaombwa riba, na makubaliano yao ni kuazma kawaida bila riba maana mtoa pesa hajasajiriwa na mamlaka husika na hatambiliki...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu, nilipewa offer ya employment na kampuni moja miaka mitatu iliyopita. Offer hiyo ilieleza kuwa baada ya mwaka nitasaini mkataba wa miaka miwili ambao unaweza kuhuhishwa (renewable) Baada ya...
0 Reactions
137 Replies
83K Views
Nimeona watu wengi wakiuliza maswali juu ya ajira zao, soma sheria uielewe ukiona haipandi tafuta mjuvi wa sheria akutafasirie!
3 Reactions
1 Replies
903 Views
Usilitaje jina la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye meseji za utani au vichekesho ambavyo lengo lake ni kuchekesha tu, isipokuwa kwa taarifa ambazo una uhakika nazo na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kusaidiwa nimekua na mgogoro wa kazi na mwajiri wangu kuniachisha kazi baada ya kunihamisha kituo bila kufuata taratibu. kwasasa tupo CMA mwajiri katika mgogoro wa kazi anasema kituo...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Mimi nilipatwa na mkasa wa kushambuliwa na mpiga DEBE siku ya tarehe 22/11/2016 majira ya SAA moja unusu usiku nilikua na mwenzangu tulitoka kumtembelea mwenzetu ambae alikua mgonjwa sasa wakati...
0 Reactions
1 Replies
767 Views
Nilikamatwa na nikashtakiwa kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.Na kesi imeenda mwisho wa siku nmekutwa sina hatia, lakini tayari nilikaa jela kwa wiki moja kama mahabusu. Je...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee wetu Ally Hassan Mwinyi amezitaka Mahakama zetu kutoingiliwa na vyombo vingine badala take Zitende Haki bila kuonea. Mzee Mwinyi amesema hayo baada ya kuona Chombo...
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Kuna binti nilizaa nae mwaka 2012 lakini nikiwa bado nasoma chuo mwaka wa kwanza BA, binti kwasababu alikuwa bado anaishi na walezi wake hakutaka kunitaja mapema, kwani alikuwa anajua hali yangu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…