Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ni mara nyingi sana nimesikia watu wakiwaambia wengine wafanye fujo na wasiogope kwani watawatoa hata wakikamatwa!
Binafsi nafikiri hakuna wasaa muhimu kama huu kuzifanyia marekebisho Sheria zetu, ni lazima tufanye sasa tukipuuzia itakuja kutugharimu huko mbele, haiwezekani Watu wanatenda makosa kwa makusudi kabisa wakitegemea mianya iliyoko kwenye Sheria na kushindwa kuwashitaki, kuachiwa na kurudia kufanya kosa lile lile kwa makusudi kabisa!
Hizi Sheria zetu hazijawekwa na Mungu, zimewekwa na Binadamu kama sisi, hivyo Binadamu kama sisi anaweza kuzibadilisha/kuzifuta pia!
Tukumbuke kwamba kuna wakati hizi Sheria hazikuwepo na Binadamu akazileta, hivyo pia kuna wakati Binadamu anaweza kuziondoa au kuzibadilisha!