lyogo
Member
- Nov 2, 2013
- 48
- 32
Naomba nianze kwa salamu ndugu wana JF. Ok niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo. Nimefanikiwa kutembelea kituo cha police maturubai hapo mbagala kipati. Niliyoyakuta humo ni ya kutoa machozi.
1. Kuna vijana niliwakuta humo wana siku 25 wakati wao ndiyo wameibiwa simu ya Tsh.25,000 tecno. Hili lilijulikana siku mkuu wa upelelezi pale alipoitisha foleni gjafla ya mahabusu wote na kuwauliza kila mtu na tatizo lake.
2. Mwingine alikamatwa nyumbani wakidhani ana mali, wakabdilisha kesi na kuwa uzururaji.
3. Kijana mmoja unyoaji wake nywele kwa kuwa ni ftball player akajikuta anatumikia lockup kwa muda wa siku 15 bila hata kujielewa. Na zingine nyingiii ambapo ukiangalia ainavya watu wanaokamatwa na kuswekwa mle ni wasiokuwa na address tu.
Maji hakuna. Chumba cha watu 25 walikuwemo 83, hali ni mbaya mbaya sana naomba Mbunge mhusika fanya ziara yako pale utajiona zaidi ya haya niliyoandika.
Hivi sheria hapo inasemaje? na wengi waliokamatwa waliletwa bila hata kujua kama ni kweli au ni bifu tu na kusingiziwa. Nasema nendeni jamani pale mkajionee hali ni mbaya sana kwa vijana wenu,wadogo zenu nk.
Wasalaam