Kuna mtu anataka kunidhulumu, naomba msaada wa kisheria

Msukuma Msomi

Senior Member
Feb 6, 2017
173
149
Habari zenu wanaJF,

Hapa kazini kuna mfanyakazi ambae aliniomba mkopo na hhatukuandikishana. Nimejaribu kumdai lakini ameishia kutaka kunidhulumu maana kila tukionana ananikwepa.

Naomba ushauri, ni taratibu gani za kufuata endapo unadai deni ambalo hamkuandikishana?
 
Nenda kwa Kalumanzira maana katika sheria humpati sababu hakuna maandishi.
 
Back
Top Bottom