Ukikabidhiwa ardhi kijijini na serikali ya kijiji. Inatakiwa uanze kuitumia baada ya mda gani?

loupa

Senior Member
Jul 22, 2016
124
78
Naomba mnisaidie sheria ya matumizi ya ardhi; Ivi ukikabidhiwa ardhi kijijini na serikali ya kijiji. Inatakiwa uanze kuitumia baada ya mda gani? Na usipotumia kuna madhara gani ....
 
Back
Top Bottom