Wanasheria msaada wenu unaitajika hapa

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,611
9,814
Poleni na majukumu ya kila siku

Msada ambao unaitajika hapa ni kutaka kujua je mtuhumiwa ambaye anatuhumiwa kumpatia mimba mwanafunzi wa shule je anaweza kupewa dhamana

Na kama anaweza kupewa dhamama je hiyo dhamama ikatolewa wapi, kituo cha polisi au mahakamani.

niweke wazi kidogo swala hili mtuhumiwa amekatwa baada ya mwanafunzi kupimwa na kugundulika mzamzito na kuambiwa a mtaje mhusika akamtaja mhusika mhusika akakamatwa tayali kukiwa na vielelezo vyote yani binti yupo, vipimo vipo na mtuhumiwa tayali yupo

Swali je hapo mtuhumiwa anaweza kupata dhamana
 
Back
Top Bottom