Kosa la kugushi adhabu yake ni nini?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini?

Kosa la kughushi lina dhamana?

Naomba majibu kwa wanaojua.
 
Ukipatikana na hatia ya kughushi nyaraka ya serikali mahakani adhabu yake ni nini?

Kosa la kughushi lina dhamana?

Naomba majibu kwa wanaojua.
Mkuu salary slip hata mimi ningependa kufahamu mana kuna ishu imefanyika ardhi inaendana na ulichokiuliza hapa
 
Back
Top Bottom