Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,738
- 30,903
Hili linahusu sheria za kazi, chukulia mfano umeajiriwa katika Halmashauri au Wizara kwenye mkataba wako wa kazi unasema Mwajiri wako ni Mkurugenzi Mtendaji/Katibu Mkuu.
Je ikatokea Rais wa JMT-Magufuli anatembelea Wizara yenu au Halmashauri akakufukuza kazi-na kusema kuanzia leo huna kazi!
naomba kufahamu kisheria, Rais ana uwezo wa kukufukuza kazi moja kwa moja au anatakiwa amwambie mwajiri wako Mkurugenzi/Katibu Mkuu ndio akufukuze kazi.
Jambo la pili, Wakurugenzi wa Halmashauri huwa wana report kwa katibu tawala Mkoa Je Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa wilaya huwa wanapata wapi Mamlaka ya Kuwaagiza Wakurugenzi moja kwa moja???