PastorA
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 361
- 275
Wanasheria na wasomi hodi humu ndani, nibaomba msaada sana wa Katiba ya NGO inayohusu mambo ya Dini (missionaries) na Jamii (reaching the poor people and unreached ones) kwa lengo la kuwasaidia,kwa maana ya kuwafikia kwa shughuli za kidini na za kijamii mfano, kuwapa elimu ya jamii...
Naomba mwenye nayo anisaidie angalau nipate ku edit ili nisonge mbele.
Asanteni.
Naomba mwenye nayo anisaidie angalau nipate ku edit ili nisonge mbele.
Asanteni.