Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wake?

AAQIL

Member
Feb 26, 2017
9
3
Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu, Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wenye initials na jina lake wakati huohuo ukionekana kama muhuri wa manispaa? Mfano muhuri usomemeke

A.D Rutashobya
Municipal state artoney

Ahsanteni
 
Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal oficer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wenye initials na jina lake lakin wakati huohuo ukionekana kama muhuri wa manispaa? Mfano muhuri usomemeke

A.D Rutashobya
Municipal state artoney

Ahsanteni
Sio sahihi, alafu huyo jamaa ni Muhaya?
 
Hapana mkuu huo ni mfano tu sio mtu halisi nilitaka ieleweke jinsi muhuri unavyosomeka
Pia samahani kwa yoyote aliyekwazika kwa matumizi ya jina hilo
 
Huo mhuri si unamtambulisha Kama mwanasheria wa manispaa boss.. We unafikiri document yako ukiipeleka kwa Mwanasheria wa manispaa yeye ana mhuri anao wa kwake ambao huwa ni tofauti na ule wa Advocates
 
Unajua maana ya State Attorney au Municipal Attorney? Kimsingi, hao nao ni Mawakili wasomi walioajiriwa Serikalini
 
ni sahihi state attorney ni wakili wa serikali yuko level moja na mawakili wa kujitegemea
 
Huo mhuri si unamtambulisha Kama mwanasheria wa manispaa boss.. We unafikiri document yako ukiipeleka kwa Mwanasheria wa manispaa yeye ana mhuri anao wa kwake ambao huwa ni tofauti na ule wa Advocates
Cjakupata vizuri
 
Cjakupata vizuri
State attorney pia ana utambulisho wake wa kiofisi kupitia mhuri anaokabidhiwa katika kutekeleza majukumu yake ya kila siku kwahiyo ni sahihi.. Huu ni tofauti na ule waliokuwa nao mawakili.
 
Unajua maana ya State Attorney au Municipal Attorney? Kimsingi, hao nao ni Mawakili wasomi walioajiriwa Serikalini
Ok but huo unazo initials na jina la mtu na sio state artoney au municipal artoney pekee huo unasomeka vyote ie "MUNICIPAL STATE ARTONEY" na qualification ni "LEGAL OFFICER"
 
Back
Top Bottom