Taratibu za kufuata ili kumiliki ardhi kihalali na kisheria

Tatigha

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
1,957
2,022
Kutokana na siku hizi utapeli kutamalaki kila mahali, na mara nyingi kwenye suala la ardhi, ningependa kujua na kufahamu ninaponunua kiwanja, shamba au nyumba ni taratibu gani napaswa kufuata ili kuepuka matapeli.
Ahsanteni
 
Kama unataka kuondokana na utapeli huo. Hakikisha kabla ya kununua ardhi uwe umeoneshwa hati miliki ya ardhi.

Pia hakikisha kunakuwepo na mkataba wa kisheria juu ya mauziano hayo.

Punde tu baada ya kununua nenda ofisi za ardhi ili kubadili hati miliki, yaani kutransfer kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuaji. Hii inaweza kufanyika pia wakat wa mauziano...
 
Back
Top Bottom