Jay Jay Nationalist
Member
- Feb 11, 2017
- 43
- 112
Habari ya mda huu Wana-JF!
Napenda kutumia fursa hii kuomba kwa yeyote aliye na sheria ya Manunuzi ya Umma ya 2014 na kanuni zake za mwaka 2011 na 2013.
Naitaji kusoma na kuelewa ili nifahamu namna Mali za Umma hununuliwa na kukodishwa kwa mujibu wa sheria. Natumai ufahamu huu utaniwezesha kuzisimamia vyema Taasisi za Umma wakati zinapofanya manunuzi na uuzaji (ukodishaji / zabuni) wa mali za umma ili kuleta haki na usawa katika michakato hii muhimu kwa maendeleo ya Umma.
"Uzalendo ni pamoja na kusimamia utumiaji wa resources za Umma" Jay Jay Nationalist.
Ahsanteni!