McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Katika utatuzi wa Migogoro ya Ardhi, kuna vyombo mbalimbali vilivyoanzishwa kisheria
kushughulikia utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Baraza la ardhi la kijiji
Hili ni baraza la chini kabisa katika utatuzi wa migogoro ya ardhi katika ngazi ya kijiji.
Baraza la Ardhi la Kijiji limeundwa chini ya Sheria ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi ya Mwaka 2002.
Baraza hili linaundwa na wajumbe (7) kati ya hao watatu (3) lazima wawe ni mwanawake. Wajumbe wote wa Baraza la Ardhi la Kijiji huteuliwa na Halmashauri ya Kijiji na kuthibitishwa na
Mkutano Mkuu wa kijiji.
Sifa za wajumbe wa Baraza la Ardhi la Kijiji ni kama ifuatavyo:-
a. Mjumbe awe mkazi wa kijiji husika.
b. Asiwe mbunge.
c. Asiwe hakimu mwenye mamlaka katika wilaya ambamo Baraza hili linafanya kazi.
d. Awe na umri kuanzia miaka kumi na nane (18).
e. Asiwe mwenye matatizo ya akili.
f. Asiwe aliyewahi kutiwa hatiani kwa kosa la jinai kuhusiana na kukosa uaminifu au kosa la kimaadili.
g. Raia wa Tanzania
h. Asiwe kiongozi katika ngazi yeyote ya Kijiji.
Mtu yeyote mwenye sifa lakini akakosa sifa hizo hapo juu wakati akiwa tayari ni mjumbe, atakoma mara moja kuwa mjumbe baada ya kumaliza mashauri aliyokuwa anayashug