Mimi sio mtaalamu wa sheria lakini nimeona iko haja ya kuona uwezekano wa kuweka vizuri huu utaratibu/sheria kwamba mwanasheria wa serikali kuwa na jukumu la kuruhusu kupeleka kesi za jinai mahakamani badala ya polisi kama zamani what if mwanasheria yeye mwenyewe amehusika kwenye jinai hiyo? Na ofisi yake ndio inatakiwa kumshughulikia? Nahisi Kuna uwezekano mkubwa haki ikakosekana
Ni mtazamo tu
Ni mtazamo tu