1)mbona unakunja uso,kabla ya mimi kunena.
Ukishanyimwa mnuso,wa kwanza toa laana.
Pole huo ni mguso,kile kimezindukana.
Kikiliwa cha legea,kitumikapo cha nuka.
2)kione kwanza kilivyo,pata pata...
Hivi hadithi maarufu kama Karumekenge zilikuwa kwenye vitabu?
naweza pata wapi vitabu vyake?
Anaejua hadithi hizi anisaidie
Yohhana Mjinga
Karumekenge
Katope......
na zingine
‘Namaste’ or ‘namaskar’ is the Indian way of greeting each other. Wherever they are – on the street, in the house, in public transport, on vacation or on the phone – when Hindus meet people they...
Nini maana ya maneno.
1.Mtu na kaka yake
2.Mtu na baba yake.
3.Mtu na mama yake.
4.Mtu na dada yake.
5.Mtu na mdogo wake.
6.Mtu na shangazi yake.
7.Mtu na bibi yake.
Na maneno mengine kama hayo...
wapendwa,
nimeweka wimbo wa CHURA wa JKT Taarab kwenye lik hii hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/entertainment/208761-chura-jkt-taarab-walitisha-sana-enzi-hizo.html
naomba tujadili...
Katika kupita pita maeneo ya hosipiyali na vyuo vya afya nimegundua kuwa madaktari wengi wanapendda sana kuongea kingereza.
Mwanzo nikiwa mazingira ya hospitali ya KCMC na wakati mwingine...
Habari zenu wakuu,
Nataka kujua au kuelewa nini maana ya kudedicate kitu kwa mtu au kitu, yaani mfano msanii akipata tuzo utasikia, naidedicate tuzo hii kwa mama, mwanangu au rafiki.
Je hili...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23 nimetokea kupenda sana lugha yetu ya kiswahili na napenda siku moja niwe mwandishi mahiri wa fasihi.
Naombeni msaada na ushauri nifanye nini...
1> Ndevu zake ni sharubu,shingoni zamzunguka.Haziwezi kusharabu,tabia yake ya paka.Toka enzi za mababu,simba aliheshimika.
Simba dume ni mkali,ila mvivukuwinda.
2> Mwili wake ni mkubwa,ulojawa na...
Nilitengeneza BASIC RULES for the use of ARTICLES in English, pamoja na mazoezi na majibu.
Unaweza kupakua Document kutoka webpage hiyo: English Grammar | somabiblia
Zipo websites nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.