Ndoto ya kuwa mwandishi

Jan 26, 2016
40
42
Habari zenu wakuu,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 23 nimetokea kupenda sana lugha yetu ya kiswahili na napenda siku moja niwe mwandishi mahiri wa fasihi.

Naombeni msaada na ushauri nifanye nini ili nifaulu katika ndoto yangu hii?
 
Back
Top Bottom