Tofauti ya "Masharti" na "Vigezo" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti ya "Masharti" na "Vigezo"

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by KakaJambazi, Sep 19, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Mfano mwenye nyumba akikwambia, ukitaka kupanga nyumba yangu unapashwa uwe na "kigezo" hichi, uwe umeoa.
  Ivi hilo si sharti?
   
 2. A

  Albimany JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Vigenzo: ni sifa au ni njia ya kuingilia pahala,kwanza ukamilishe vigenzo ndio uingie au ukubaliwe,Mfano: Ili uingie chuo cha ufundi ni lazima uwe umefaulu Hesabu,Fiziksi, na kiengereza.

  Masharti : ni Taratibu au mambo ambayo ni lazima kuyafanya,sikuzote huja baada ya kigenzo, Mfano: mwanafunzi atakaekubaliwa anatakiwa aingie darasani saa 1 kamili asubuhi, kama hakufika kwa muda atafukuzwa skuli. kufukuzwa skuli sio kua kakosa vigenzo au sifa za kusoma bali ameshindwa kufuata taratibu za shule, ila sifa anazo.


  Tukirudi kwenye mfano wako,Kigenzo cha kuoa ni sifa anayotakiwa mpangaji awenayo, lakini masharti ataambiwa adumishe usafi,alipe umeme na maji, usafi,kulipa umeme na maji sio sifa( vigenzo) bali ni taratibu za nyuma alopanga(masharti).

   
 3. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Samahani mkuu, hapa tupo katika kuelimishana. Hapo kwenye italiki ni Vigezo au Vigenzo? maana
  ingekuwa ni mara moja tu ningesema labda vidole vimeteleza.
   
 4. A

  Albimany JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mkuu ni VIGENZO ndio niliokusudia sio kimakosa ila kwa hili sina uhakika kua niko sawa au wewe ndio uko sawa,
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni vigezo bana..
  vigenzo ndo lugha gani?
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  tunahitaji msaada wa kamusi sasa.
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  antaka lazma uwe umeoa mana vijana wa siku hzi baaana
   
 8. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nami nashangaa,vigenzo ndo neno gani?Ni vigezo,amenunua uraia nini?
   
 9. wilbald

  wilbald JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 1,263
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  VIGEZO=factor,criteria

  MASHARTI=conditions/terms
   
 10. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kizenji hicho mkuu
   
 11. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sasa mbona huwa wanasema terms and conditions apply...wakiwa na maana vigezo na masharti kuzingatiwa?
   
 12. Nahonyo

  Nahonyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2016
  Joined: Dec 28, 2012
  Messages: 2,796
  Likes Received: 1,120
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha aise!
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Mar 1, 2016
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Atakuwa mkimbizi huyu...!!
   
 14. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2016
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 14,556
  Likes Received: 13,120
  Trophy Points: 280

  Nilitegemea jibu kama hili! Sisi Miafrika bwana hivi ni kwanini hatuna akili???!!! Kwani amekuuliza tafsiri ya maneno ,,masharti" na ,,vigezo" kwa Kiingereza?

  Haya na nini tofauti kati ya conditions na factor/criteria?
   
Loading...