philipItinde
Member
- Jan 29, 2015
- 29
- 9
Mume wa shangazi utamwitaje? pia mke wa mjomba utamwitaje?
Mume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.
mkaza na mkazwajiMume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.
Karibu Tanga utozoea kutamka hivyo tuHaaaa jamani umenichekesha sana
Pozi la kuitana mkaza mjomba Lol
Ha ha ha duhMume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.
Mume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.
daah! nimecheka ad najishtukia nimeshaaibika ukweniMume wa shangazi ni mkaza shangazi na mke wa mjomba ni mkaza mjomba.
Mume wa shangazi Ni Uncle mke wa mjomba ni Aunt
Mbuya tata.Mka-mame na Mame (Kihacha & Sweta)