Mtu na kakaye, Mtu na babaye

Mtu na kakaye, Mtu na babaye

Carbondioxide

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
733
Reaction score
195
Nini maana ya maneno.
1.Mtu na kaka yake
2.Mtu na baba yake.
3.Mtu na mama yake.
4.Mtu na dada yake.
5.Mtu na mdogo wake.
6.Mtu na shangazi yake.
7.Mtu na bibi yake.
Na maneno mengine kama hayo yanamaana gani?
 
Kwamba yule mtu unayemuona pale yupo na baba yake au na mama yake au na dada yake nk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom