lafionaposh
Senior Member
- Jul 22, 2015
- 139
- 64
Nilikua naomba kuuliza nini maana halisi ya neno Mpole.
Watu wengi tunashindwa kutofautisha kati ya Mpole na Mkimya.
Mimi ni mmoja wao.
Msaada tutani.
Watu wengi tunashindwa kutofautisha kati ya Mpole na Mkimya.
Mimi ni mmoja wao.
Msaada tutani.