Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Bwana Forum, Nimewasalimu na kuwapa pole ya shughuli kwa kila mmoja kwa upande wake. Nachukua nafasi hii kuomba mnipe ufafanuzi wa maneno yafuatayo kisha tutayajadili moja baada ya jingine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MWANANGU SEMA AMINI. 1 Mwana ninaye kupenda, naomba sema amini, Mungu anaye tulinda, akukinge na majini, Wale wanao kuwinda, Rabi awabwage chini. Namuomba Rahmani, akupe walau shinda. 2 Uvune...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
BAHARI YA MAHABATI. 1)bahari inanimeza. Wakti mwezi wa chomoza. Nahisi rufu ya viza. Bani unanifukiza. Mchana tena wa kiza. Bahari ya mahabati,mapenziyo yanishika. 2)mahabati wayo nipa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu ma great thinkers namkuje huku tafadhari mniambie kuwa chakula cha UGALI kinaitwaje kwa kimombo? zawadi itakuhusu.
1 Reactions
101 Replies
34K Views
Sabakher Wadau! Nipo zenji kuchukua kikaz! Nimekuja kijiwe cha wazee kupoteza muda!kuna binti kapita Kuna mzee kasema Samaki Pande! Naona Wote Wamecheka! Nin maana yake?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
1)Afrika yetu ya leo,siyo kama ya jana. Binadamu wauwana Kikatili wachinjana.hakuna hurumiana . Wote wanakalaumyana. Afrika yetu ya kesho,haitokua ya leo. 2)Afrika yetu ya leo,siyo kama ya jana...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
SUNGURA KACHOMOKA. 1)Wameona walobisha,taratibu wanakaa. Nafasi waliipisha,walipowasha mkaa. Tufe wakabiringisha,kwa uzuri wa chokaa. Sungura amechomoka,nyumbu wanatapatapa. 2)kiti moto...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
mwenye kujua maana ya neno " NDICHI"
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habar wa jf nimepita mahal nikakutana na neno "wanyama wanao puruka" wataalam nisaidieni hapo
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Nimemsikia mara kadhaa mheshimiwa Rais anapohutubia anasema "nachomekea tu" Miongoni mwa mara nilizomsikia ni pamoja na wakati wa mkutano wa wakuu wa Afrika Mashariki ambapo baada ya kuongea...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
NYUMBU AMUONGOZA PUNDA. 1)punda mlia mjanja,ameshashikwa mkia. Kakamtwa kila nyanja,anaujanja alia. Ameporwa ukiranja,kimya kimya atulia. Nyumbu amwongoza punda,kilio chini kwa chini kwa...
0 Reactions
0 Replies
935 Views
SINA NDUGU MJINI(rudio). 1)urafiki siyo hapa,acheni hilo ni nene. Mwenze nisitoke kapa,mje ruka kisenene. Vaeni kanda malapa,kimya kimya muuchune. Mjini mi sina ndugu,kelele ze si za chura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji ushuhuda kwa MTU yeyote aliye na ushahidi kuhusu kujua kuongea English fasaha . Nahitaji kusoma kozi ya uhakika ila sijawahi kupata ushuhuda wa aliyefanikiwa.
0 Reactions
22 Replies
4K Views
1)naanza kuwasalimu,kwa jina lake manani. Salamu kwetu muhimu,juu yenu iwe amani. Mola wetu mkarimu,atupe nyingi imani. Leo ni siku muhimu,wanawake duniani. 2)wanawake ndio nguzo,hilo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeusikiza wimbo uliyo na hayo maneno,lakini pia naona ni msemo unaopata watumiaji wengi ila bado sijajua maana take haswaa,mwenye kujua tafadhari
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Kiswahili sahihi hii tarakimu inaitwaje? 100,000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninaapa kwa mababu, na mizimu ya kikwetu, Natoa leo sababu, roho yangu iwe kwatu, Ni hili lilonisibu, kunifedhehesha utu, Walilokula wengine, tunda hili mimi sili! Nimepewa tunda hili, la bure...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
KILIMO NI UTI WETU. 1)Alipoumbwa adamu,alikabidhiwa jembe. La kale la zama damu,alime hadi maembe. Kilimo ndie nidhamu,ugumu katwa na wembe Kilimo ni uti wetu,dira ya maendeleo. 2)lima hadi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, Mwenye namba ya Ras simba au sehemu ambayo anapatikana naomba nijulishe
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom