FARASI FUNGUA KAMBA.
1)Hauna kichwa farasi,vipi ikutese kamba.
hujatafuta nafasi,mbona kichwa umefumba.
Wa waza chanya na hasi,ama wacheza marimba.
Farasi fungua kamba,hicho kiti karatasi...
PENZI JINI HATARI.
1.Penzi ni jini hatari, wa kutesa na kuua,
Huzibeba zote shari, za kiangazi na mvua,
Nina kuomba Qahari, miye asije niua,
Mahaba yanizuzua, mtima wata ghururi.
2.Penzi mganga...
PENZI JINI HATARI.
1
Penzi ni jini hatari, wa kutesa na kuua,
Huzibeba zote shari, za kiangazi na mvua,
Nina kuomba Qahari, miye asije niua,
Mahaba yanizuzua, mtima wata ghururi.
2
Penzi mganga...
Je, Kuna neno moja kumaanisha "addiction" au "addict" kwa kiswahili? Kwa mfano ni kama mtu ambaye huwa anahitaji kilevi au kitu chengine sana na hawezi kataa kisaikolojia. Bado natafuta neno...
Habari wapendwa wana-JF,
Mimi siku hizi nimefikwa na wazo la kutengeneza tongue twisters,
sasa ni mkusanyiko wangu kutoka mtandao lakini ziko rahisi mno.
naomba tuchemsha bongo pamoja na kuziunda...
Ndugu wanajukwaa asalaamu!
Naomba nikiri kuwa kiswahili cha kujibia mtihani huwa najitahidi kiasi fulani ila leo nimekwama
katika aina za maneno hili neno "nini " katika sentensi hii ni aina...
Thamani ya Samahani.
1)mbona tendo dogo kumbe,vipi lipigwe na nondo.
Ama ni funika kombe,yafa mafunzo ya jando.
Au macho ya kinyambe,kuona ona mafundo.
Hivi neno samahani,halina tena samani...
Haya maneno mawili hunipa shida sana kwenye kuyatumia. Hebu nisaidieni kuhusu matumizi yake. Kwa mfano "jambo hili ni kwamba" au "jambo hili ni kuwa" sentensi hizo zina maana tofauti? Nataka...
Mapembelo mwebhoni mwemukhemanyile ekhekhenga mwe mule mu litesu ele.
wakuu nimesikia kuwa eti lugha hii asili yake ni Kongo. Hebu mwenye uelewa wa asili ya lugha ya kikinga na wakinga wenyewe...
Morning everyone. Hope all is well with you
Naskitika sana kuona vijana wasomi wa vyuo vikuu hawawezi hata kujieleza au kuongea kiingereza kilichonyooka. Na hii inatoka na mtindo wa maisha ( life...
PESA NA ELIMU.
1) Tangu jua kuchomoza,nimetanga kwenye njia,
Kwamba tumbo kuijaza,ndilo hasa langu nia,
Niwe sako na ruwaza,na riziki kujipatia,
Jihatada hata ingawa,haiondowi kudura.
2)vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.