Maana ya 'ku- dedicate'

Bigbootylover

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
2,847
1,826
Habari zenu wakuu,

Nataka kujua au kuelewa nini maana ya kudedicate kitu kwa mtu au kitu, yaani mfano msanii akipata tuzo utasikia, naidedicate tuzo hii kwa mama, mwanangu au rafiki.

Je hili linamaanisha hiyo tuzo aliyoipata huipeleka na kumkabidhi aliyemdedicetia au anabaki nayo yeye na kuudedicate huo ushindi kwa mhusika. Wacheza mpira nao hudedicate magoli n.k
 
Haina maana kuwa atampa ila mara mingi unakuta ni watu waliomsapoti sana wakati fulani kwa jambo fulani so ni kama ishara ya kuwashukuru...Ama zile dedication za nyimbo unakuta kuna jambo unae taka asikie atakumbuka ama atapata ujumbe fulani pindi asikiapo wimbo huo..
 
Back
Top Bottom