Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
1)kikali kisu cha ng'ata,mwite mbwa ujutie. Baragumu bini tata,kizibao jivalie. Kipigo pu chini chali. 2)mkia atapofyata,muoga yeye si ndie. Sivyo anavyofuata,ngoja ajikimbilie. Kipigo pu chini...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Useful Application. طبيق مفيد English to Arabic (Arabic to English) Translator. المترجم انجليزي عربي (عربي إنجليزي) . Download it here English Arabic Translator - Android Apps on Google Play
0 Reactions
0 Replies
719 Views
Wakuu, Naomba ufafanuzi na sababu za msingi.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za mchana wana JF, Ningependa kujua maaana halisi au tafsiri ya neno tulia.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
, kwa wale Wakuuwaliosoma kitambo wataikumbuka hii; labda haikumake sense by that time ila it does now.. 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunaanza bila kuchelewa Kukoropa---------- Kupiga deki Kunya---------------Kunywa Mbele----------------Kabla Kugoma-------------Kunyoosha nguo au kupiga pasi Kinono---------------Kongolo...
2 Reactions
39 Replies
17K Views
Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo za kilingala, na ungependa kujua kilingala, waweza kujifunza kupitia Youtube.
2 Reactions
1 Replies
6K Views
KUMBE TAMBARA. 1)mwanzo nilipokiona,nikiwa siambiliki. Niliona amenona,kikinukia iliki. Bichwa langu likatuna,na mkono sishikiki Nilijua hajaguswa,kumbe haswa ni tambara. 2)kile...
1 Reactions
0 Replies
559 Views
1.Locutionary. 2.illocutionary 3.perlocutionary naomba kufahamu maana..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani naomba nisaidiwe hili neno maana yake hasa nini?
0 Reactions
6 Replies
16K Views
MSALITI NI HALUA. 1)vitoto mlikataa,tulisema baba yenu. Nyinyi kwake ni uozo,kama karanga ya mbuzi. Pindi mnapozubaa,huwaongoza mwenzenu. Msaliti ni halua,vibwana nyinyi vibua. 2)yeye...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Je,unapenda kujifunza kuongea kichina? Mandarin chinese Kuanzia feb 1-2014 tutaanza kufundisha kichina,mafunzo ni miezi mitano,yaan feb 1_july 1. Mahali sinza mapambano primary school iliyopo...
1 Reactions
50 Replies
17K Views
KIPATO (INCOME) Enlarge poem Kipato wengi hupata, kutunza ndiko kugumu, Hupata vingi vitita, pesa na vingi muhimu Bali kutnza utata, watoe zamu kwa zamu, Kipato wengi hupata, kutunza ndiko kugumu...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
MWANASIASA NA MWANANCHI MWANASIASA 1) Ndugu zangu wananchi,mimi wenu kiongozi, Liyepigania nchi,na kuleta ukombozi, Mimi aula siwafichi,nipitishe uchaguzi, Sio bora uongozi,uwe bora uongozi...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
MSUTAJI AKISUSA. 1)Samani poleni sana,japo yaweza kuuma. Ila nikuchukizana,mdomo waweza sema. Kwa bidii kukazana,bora ninene mapema. Msutaji akisusa,msutwaji hufurahi. 2)jasiri...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Qui Parle le fran?0?4ais bien? Je manque bien de parler cette langue.?0?4a c'est pourquoi j'ai decid?? d'??crire en cette nuit comme ?0?4i.soyez les bienvenus.......!!!!! Que Dieu vs bennisse mes...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
CHAMROHO CHAMROHO. 1)Kapu lake mkononi,njiani ajizungusha. Na mi mate i tumboni,usoni kajikausha. Kwa mbali yu taabani,siri anasikitisha. Chamroho chamroho,mate taka mdomoni. 2)mate...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
TUMBUA MAJIPU. 1)Ukweli yanaumiza,maumivu ni makali. Ni lazima kumaliza,tena kuyatupa mbali. Na dawa yake fukiza,hata kama njia ghali. Jembe tumbua majipu,tumbua usiogope. 2)Wengi...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
EMBE CHEREMA LAOZA. 1)umepata mkataji,mti pale ulikwepo. Wakaufanya mtaji,virukaruka vipopo. Waze wakuda wa jiji,wafa kuitwa makopo. Embe dodo licherema,laiza likilalama. 2)embe leo...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
Ifuatayo ni sehemu ya shairi liloandikwa na Idd Ninga likijulikana kama tatizo ni baba mkwe ,unaweza kutoa maoni na ushauri wako. 1>tatizo ni baba mkwe,mke amenibania. Sipendwi na wangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom