Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
KISOGO MCHAWI? 1. Natoa kingilambago, nisikizwe kilingeni, Simtaki jini kago, maalim Subiani, Namtaka Mwinyimbago, kibokoye Makatani, Vipi iwe tafarani, alipowapa kisogo. 2. Fundi kalia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
PUNGUZA TUI UTIE MCHELE. Kobe hugeuka paka, kwa uchungu wa mwanawe, Atoe sumu ka nyoka, kiasi asichezewe, Kama tai ataruka, kwa makucha aparuwe, Tua nasema jituwe, siku zako zimefika. Nasema...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
MLEGEZO . 1)wengi japo wanasema,kama umekata gogo. Mabwe pande mji mwema,uliopewa kisogo. Tambua jua mapema,hilo jambo ni kipigo. Mlege wazua tata,utata wenye mashaka. 2)wengine jali...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
TANZANIA NAKUPENDA SANA. Mama Tanzania, nakupenda sana, Nakupigania, usiku mtana, Zitaangamia, husuda fitina, Za walo pania, watu kuchinjana Nakupenda sana, wangu Tanzania. Siwati kulia, tunapo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
IKULU YA MASHETANI. 1)tutauteka Dunia,milele tutatawala. Nyote mtaangamia,kila kona kila pala. Sana tutawachukia,wale wafanyao sala. ikulu ya mashetani,tutaiteka Dunia. 2)mbona hofu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
JOHO LA MWENDA WAZIMU. 1)ukiona hakunacho,usinyooshe kidole. Vidole kile ambacho,vipo kwako siyo mbele. ukisifu kwa kijicho,utalogwa kwa tembele. Joho la mwenda wazimu usivae harusini...
1 Reactions
0 Replies
722 Views
UJINGA WA MWAFRIKA,FURAHA YA MZUNGU. 1)ni uchu wa madaraka,ndio unaotuponza. ama kili zimechoka. tumekuwa takataka,kwa jalala lenye funza. ujinga wa muafrika,ni furaha ya mzungu. 2)wao mbona...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
I wanna learn Hebrew and Lingala. Anyone can help please..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1>mungu akupe maisha,marefu yenye baraka. Lugha vyema wafundisha,twaelewa kwa haraka. Njia umetuonyesha,nasi twapenya kichaka. Pongezi davidi nzela,mema ninakuombea. 2>ushauri na nasaha,zako...
1 Reactions
0 Replies
941 Views
Nipinge kama sio kweli pia like kama nipo sawa lakini hata hivyo mie tangu mwaka jana niliamua kutumia lugha ya kiswahili kwenye simu yangu ambayo muda mwingi ninayo.Je nawe wafanyaje kuokoa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangazo la mwezi wa 12 la king'amuzi cha Startimes lilikuwa tangazo lililokosa weledi kwenye lugha ya kiswahili na kwakweli linarudisha juhudi nyuma za kukiweka kiswahili kwenye ramani ya dunia...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu wapendwa wote. mwaka 2016 unahitajika kuwa mwaka wa mabadiliko katika fani ya ushairi Tanzania na Afrika ya mashariki kiujumla. mabadiliko hayo yanakuwa katika vipengele...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapo zamani za kale, kale ile ya umilele. Kale iliyozama hata isitambulike ilipoanza wala kuisha. Haswaa ni kale ya zama za enzi na enzi. Hapo kale basi, palikuwa naye neno, asijulikane alipoanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna msemo umeenea sana siku hizi utasikia "chandarua chenye dawa" Je hii ni sahihi?mimi kwa ufahamu wangu finyu nilidhani neno sahihi ni "chandarua yenye dawa"naomba mchango kwa wataalam wa lugha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
When you hear someone using grammar incorrectly, do you make an assumption about his or her intelligence or education? There's no doubt that words are powerful things that can leave a lasting...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Habar zenu wanajamiii wenzangu nimekwama nilikua naomba msaada kwa anayejua kingerza cha HAPA KAZI TU,,,
2 Reactions
50 Replies
12K Views
When I observe young people passing elders in the street I notice they great them with what sounds like "Ma-La" when greeting Mamas and "Ba-La" when greeting Babas. I was once told it's a show of...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hili neno Nimeliona mara kadhaa humu Jf ila kiukweli sijui maana yake Nisaidieni
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Lugha ndiyo nyenzo muhimu popote pale duniani kujipatia maendeleo.Hakuna nchi duniani imeendelea kwa lugha ya mwenzake Niajabu kumkuta mswahili akichanganya kiswahili na kingereza au mswali ndani...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
1)walikuwa na amani,kabla wao kuingia. Wakisali mjengoni,chuki wakiuchukia. Ila wale mashetani,chuki wakawapandia. Ukaota na vichwa,huku wakiitambua. Wakimbizi wangamia,kwenya bahari ya kifo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom