structuralist
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,230
- 907
Katika kupita pita maeneo ya hosipiyali na vyuo vya afya nimegundua kuwa madaktari wengi wanapendda sana kuongea kingereza.
Mwanzo nikiwa mazingira ya hospitali ya KCMC na wakati mwingine MAWENZI zote za.mjini.moshi nikawa naona madaktari wakija kuona wagonjwa wanongea kingereza na sio kiswahili
Nikajua hapa labda lengo ni kuficha hali ya mgonjwa kwakuwa mara nyingi huwa wanaongea mbele ya mgonjwa na ndugu zake.
Hata hivyo nikiwa katika migahawa yao hasa pale KCMC nawaona pia madaktari wanaongea kingereza. Hapa hakuna wa kumficha kwakuwa kwa asilimia.kubwa waliopo hao ni madaktari.wenzao. Hata ukiwakuta wanatembea kwemye korido pia utasikia wanazungumza lugja.ya malkia.
Sasa naijuiliza hawa madaktari uthubuti huu weutoa wapi ili hali mashu mengi hayana utaratibu huu?
Nadhani ni.wakati mzuri sasa kwa walimu kuiga utamaduni huu mzuri. Natambua kuwa kuna wale watako sema ni utumwa wa kifikira lakini kwakuwa lugha ya kufundishia na kujifunzia ni kingereza hakuna namna nyongine.zaidi ya kutumia mbinu tofauti tofauti ili kuimudu.
Chonde chonde walimu fanyeni.mazungumzo ofisini.kwenu na kwingineko kwa kingereza. Hii itwavutia sana wanafunzi na kuiga kutoka kwenu. Kuwa na vibao vingi vya "Speak English" haisaidii kama wahusika muhimu hawawi mfano mzuri wa kuigwa.
If doctors can,why can't teachers.............?( teh teh teh)