nimepata kuwasoma wakuu kama akina acid, kiranga, rev masanilo na wengineo wakitumia neno 'vilaza' katika hoja zao kuonesha mwenendo fulani { pengine kifikra?}.
nimejaribu kutumia context kuelewa...
Wasalaam!
Naomba kama kuna mtu anafahamu jina halisi la mmea kisayansi) mchaichai, kwa wale ambao wamewahi kunywa chai ya mchaichai nadhani mtakuwa mmenielewa na maana gani.
Si maana nataka jina...
Rais niombe radhi, tena iwe hadharani,
Kauli yako yakuudhi, imekera si utani,
Leo nakupa waadhi, uandike ukutani,
Nasi tuna yetu hadhi, tulo feli darasani,
Mimi kunita kilaza, rais niombe radhi...
Rais niombe radhi, tena iwe hadharani,
Kauli yako yakuudhi, imekera si utani,
Leo nakupa waadhi, uandike ukutani,
Nasi tuna yetu hadhi, tulo feli darasani,
Mimi kunita kilaza, rais niombe radhi...
Tumbo laniunguruma, ninaharisha matata,
Kichwa nacho chaniuma, kitovu kinanikata,
Kila siku mie homa, ngozi yote yafukuta,
Si bure nimeupata, hizi dalili za ngoma.
Mbavu zina chomachoma, mgongo...
Waheshimiwa wa Jukwa la Lugha:
Natumaini hamjambo nyote. Mimi ni mfasiri wa Kiswahili kwenda Kiingereza. Leo nimekwama... ninahitaji kufasiri maneno hayo mawili: waya na seng'enge - katika...
Ndugu Wanajamvi,
Naomba nieleweshwe maana ya neno Kitoko kwa lugha ya kikongo. Kuna mtangaji wa redio Uhuru fm pia anajiita Mwasikitoko.
Kwa kilugha chetu huku Umakondeni ni tusi kubwa sana...
Kuna watu kwenye mitandao wanaharibu sana lugha ya kiswahili. Hasahasa kwenye maneno yanayo husu "H" unakuta kwenye kuweka H mtu anaiondoa au anaweka H pasipo takiwa.
Ninaomba tukifunze matumizi...
Naomba maoni yenu juu ya hoja hii :- Kati ya kiswahili na kiingereza, ipi ni lugha nzuri inayofaa kutumika kufundishia na kujifunzia Katika shule za sekondari na vyuo vikuu hapa Tanzania?
Kuna issue fulani naifuatilia huko Bongo, halafu mojawapo wa vigezo ni kwamba, lazima mhusika awe anaongea Kingereza kwa ufasaha. Haya hapa maneno ya tangazo lenyewe "Strong communication skills...
Shuleni milijifinza kuwa Kiswahili ni kibantu.Kimekopa(Kutohoa) maneno kutoka Kiarabu Na lugha nyinginezo mf. Kiingereza (Shati,Sketi, nk) Kichina(Chai)
Kijerumani (Shule, hela nk)
Je kwa nini...
Sijui bado ni kwanini baadhi watanzania wenzangu mpaka sasa wameshindwa kutofautisha kati ya r na l. Hiyo huwa inanikera sana.
Nikiri hata girlfriend wangu ana huo uzembe. "Jamani laha sana"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.