Vilaza ndio watu wa aina gani?

minda

JF-Expert Member
Oct 2, 2009
1,068
67
nimepata kuwasoma wakuu kama akina acid, kiranga, rev masanilo na wengineo wakitumia neno 'vilaza' katika hoja zao kuonesha mwenendo fulani { pengine kifikra?}.

nimejaribu kutumia context kuelewa neno hilo lakini nimeona bado halijakaa; na nikaishia kukiri kwamba lugha ni kitu kinachobadilika kila mara.

my take;

vilaza ni watu wa aina gani? kilaza ndio mtu mwenye mawazo ya aina gani?
 
Wakati mwingine inapendeza kuwauliza wale wenye kupenda kutumia hayo maneno...!

Kilaza ni mtu anayejifanya kujuwa jambo na kulitolea maelezo, lakini ki ukweli si mjuzi wa ilo analo lielezea.
 
Kilaza

Ni mtu wa jinsia yeyote aliyemvivu kufikiria, akili imedumaa ama mgando, mpotoshaji wa makusudi, hupenda kubadli vitu vilivyo obvious kwa manufaa yake ama kwa kujua ama kutojua, kifupi ni mtu aliye zaidi ya mjinga. Hapa JF wapo wengi tu wanaongoza kundi la vilaza ni Malaria Sugu, Kishogo, Kudadeki, Yaya, Zubeda unaweza ongezea listi yao.
 
Kilaza

Nim mtu aliyemvivu kufikiria, akili imedumaa ama mgando, mpotoshaji wa makusudi, hupenda kubadli vitu vilivyo obvious kwa manufaa yake ama kwa kujua ama kutojua, kifupi ni mtu aliye zaidi ya mjinga. Hapa JF wapo wengi tu wanaongoza kundi la vilaza ni Malaria Sugu, Kishogo, Kudadeki, Yaya, Zubeda unaweza ongezea listi yao.
Hii kutajana majina si nasikia sheria za JF zinakataza!!
 
Nasikia kutumia Ghost name sheria za JF zinaruhusu, huwa mbaya kama nikiandika X-PASTER ni John Said Gitoma na anakaa Mavurunza.
Ah we! Umejuwaje kuwa ilo ndio jina langu... nitakushtaki ooh... yaani futa haraka kabla sija-report hii kitu!
 
Kama Chiligati, we unamuonaje?Makamba? Kinana? (Samweli Sitta! kwa sababuhakujua kabisa alimpiga KIFARU risasi moja so alipaswa amuongeze mpaka kifaru kainuka KAMMALIZA so nae ni kilaaza tu).Ridwani... Mama Makinda...!Mwenyekiti...!!!,Sophia Simba...!!! na 61% ya watu waliojitokeza KUPIGA KURA... ni watu wanaoweza kutoa mawazo yao pasipo kutambua kwa umakini anachokitolea mchango husika
 
nimepata kuwasoma wakuu kama akina acid, kiranga, rev masanilo na wengineo wakitumia neno 'vilaza' katika hoja zao kuonesha mwenendo fulani { pengine kifikra?}.

nimejaribu kutumia context kuelewa neno hilo lakini nimeona bado halijakaa; na nikaishia kukiri kwamba lugha ni kitu kinachobadilika kila mara.

my take;

vilaza ni watu wa aina gani? kilaza ndio mtu mwenye mawazo ya aina gani?
Ukizichunguza kidogo tu posts za MAlaria Sugu utagundua vilaza ndo watu wa aina ..............
 
Vilaza ni watu ambao ni wagumu wa kuelewa na hata wakielewa wanasahau haraka sana.
Wavivu wakufikili hata jambo la kawaida.
Anaweza kusema dunia ipo kama meza hata umwambiaje hilo ndo jibu lake!
 
nimepata kuwasoma wakuu kama akina acid, kiranga, rev masanilo na wengineo wakitumia neno 'vilaza' katika hoja zao kuonesha mwenendo fulani { pengine kifikra?}.

nimejaribu kutumia context kuelewa neno hilo lakini nimeona bado halijakaa; na nikaishia kukiri kwamba lugha ni kitu kinachobadilika kila mara.

my take;

vilaza ni watu wa aina gani? kilaza ndio mtu mwenye mawazo ya aina gani?

Kilaza ni neno lilokuwa linatumika University of Dar es Salaam miaka ya 90s na kuendelea (sina hakika na miaka ya nyuma zaidi) kumuidentify mwanafunzi mwenye uwezo mdogo darasani. Kinyume chake ni Kipanga.

Solidarity forever, and DARUSO members are strong!
 
Kilaza

Ni mtu wa jinsia yeyote aliyemvivu kufikiria, akili imedumaa ama mgando, mpotoshaji wa makusudi, hupenda kubadli vitu vilivyo obvious kwa manufaa yake ama kwa kujua ama kutojua, kifupi ni mtu aliye zaidi ya mjinga. Hapa JF wapo wengi tu wanaongoza kundi la vilaza ni Malaria Sugu, Kishogo, Kudadeki, Yaya, Zubeda unaweza ongezea listi yao.

Precisely,this is what I had expected,this is the right definition and very good vivid examples that you gave us, especially the one that you mentioned about Malaria Sugu!god bess you!
 
Back
Top Bottom