Red Giant JF-Expert Member Mar 9, 2012 15,657 20,966 May 26, 2016 #1 Bwana Mbwiga, huu msemo wako unamaanisha nini?
S sanif JF-Expert Member Mar 15, 2016 480 324 May 26, 2016 #4 Ni kama ule usemi "la kuvunda halina ubani" au maji yakimwagika hayazoleki