Kwani sifa za "lugha nzuri" hua ni zipi? tuanzie hapo kwanza.Naomba maoni yenu juu ya hoja hii :- Kati ya kiswahili na kiingereza, ipi ni lugha nzuri inayofaa kutumika kufundishia na kujifunzia Katika shule za sekondari na vyuo vikuu hapa Tanzania?
Maarifa mengi yameandikwa kwa lugha za watu waliyoyavumbua. Unapotafsiri elimu toka lugha moja hadi nyingine mara nyingi inaweza kupoteza vitu fulani kutoka maana ya awali iliyokusudiwa. Kama tunataka kupata maarifa tuendane na dunia kufanya bidii kujifunza Kiingereza ambayo ni lugha ambayo maarifamengi duniani yameandikwa, kuache kujidanganyaNaomba maoni yenu juu ya hoja hii :- Kati ya kiswahili na kiingereza, ipi ni lugha nzuri inayofaa kutumika kufundishia na kujifunzia Katika shule za sekondari na vyuo vikuu hapa Tanzania?