Sukari sukari sukari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,209
4,406
SHAIRI LA SUKARI.

1)Kizaza mtaani,sukari nayo hakuna.
Ukwe u viwandani,watu wamenuna nuna.
Wakumlaumu nani,ama yule alonena.
Tutumie ya nchini,huku viwanda hakuna.
Sukari ni janga jipya,nina nena kimya kimya.

2)asingelikuwa fulani,kweli tungefichiana.
Ama huu mtegoni,washaanza kutegana.
Chai anasa kyanani,tuanze pipi tafuna.
Eti humu mitaani,bidhaa hiyo hakuna.
Sukari ni janga jipya,wakumlaumu nani ?

3)mjini inathamini,wapi pakuuziana.
Naona tena zamani,yaanza kurudiana.
Tukaipange foleni,bidhaa kugaiana.
Hata na wao jamani,kwao inapatikana
Sukari ni janga jipya,aloificha ni nani ?

4)hatuna kwetu undani,sukari kutengezana.
Vipi isiletwe ndani,ba huku kwetu hakuna.
Ukweli siyo utani,litakuja tibuana.
Kinukapo mtaani,watu wataulizana..
Aliezusha si nani,yule alonyimizana.
Sijui ila fulani,namwona anakazana.
Sukari ni janga jipya,vipi tukaiagize ?

5)tunyweni chai na pipi.
Wala tusihoji vipi.
Hili ndio lile lipi.
Tutaipatia wapi.

6)inapatikana ndani.
Ama nje viwandani.
Na humu humu sokoni.
Wala haionekani.

Shairi-=SUKARI.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
+255624010160
iddyallyninga@gmail.com
 
SHAIRI LA SUKARI.

1)Kizaza mtaani,sukari nayo hakuna.
Ukwe u viwandani,watu wamenuna nuna.
Wakumlaumu nani,ama yule alonena.
Tutumie ya nchini,huku viwanda hakuna.
Sukari ni janga jipya,nina nena kimya kimya.

2)asingelikuwa fulani,kweli tungefichiana.
Ama huu mtegoni,washaanza kutegana.
Chai anasa kyanani,tuanze pipi tafuna.
Eti humu mitaani,bidhaa hiyo hakuna.
Sukari ni janga jipya,wakumlaumu nani ?

3)mjini inathamini,wapi pakuuziana.
Naona tena zamani,yaanza kurudiana.
Tukaipange foleni,bidhaa kugaiana.
Hata na wao jamani,kwao inapatikana
Sukari ni janga jipya,aloificha ni nani ?

4)hatuna kwetu undani,sukari kutengezana.
Vipi isiletwe ndani,ba huku kwetu hakuna.
Ukweli siyo utani,litakuja tibuana.
Kinukapo mtaani,watu wataulizana..
Aliezusha si nani,yule alonyimizana.
Sijui ila fulani,namwona anakazana.
Sukari ni janga jipya,vipi tukaiagize ?

5)tunyweni chai na pipi.
Wala tusihoji vipi.
Hili ndio lile lipi.
Tutaipatia wapi.

6)inapatikana ndani.
Ama nje viwandani.
Na humu humu sokoni.
Wala haionekani.

Shairi-=SUKARI.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
+255624010160
iddyallyninga@gmail.com
mashallah
 
Back
Top Bottom