Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hii thread ni Maalum kwa MANGI wote waliopo Mjini. Tuendelee kufundishana Kichagga na ile Misemo/Methali za Watu wa Kale ili kutunza Mila na Desturi zetu. Kuna Misemo kama "Mokaa kacha nekenyo wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
*KISOMO KIRUMIRUMI.* 1)wimbo sasa wanifunza,na vyema nauelewa. Ndo kwanza tumeshaanza,wala hatujachelewa. So kila zazi la nyanza,lakili kulewalewa. Kisomo kirumi rumi,chaundwali tukisome...
2 Reactions
0 Replies
859 Views
Nimechafuka na wino, sababu yako fulani, Ili nipate maneno, nikukomeshe fatani, Siyataki malumbano, hilo liweke kichwani, Nimefanya kosa gani? mwenzangu sifiche neno. Nimepata mnong'ono, waniteta...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Naulizia maana ya neno KIBEKO na pia neno UNGO inamaana gani?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
NIMEMPA MANENO KILUGHA SASA AKILI KICHWANI MWAKE Wako kaka hamornize uve nkukumbuka apanu pachilambo ufete chani?... anayemwali waa akave mmaeeh ngukuaulila aneyo mwali wanchema mnchaga nang'e...
9 Reactions
88 Replies
14K Views
NG'E WA KAYA. 1)wazee walishasema,kaziyo siyo rahisi. Wakakuonya mapema,ukawahisi mijusi. Kwamba kweli mwanachama,utaifuta najisi. Hawa ndo ng'e wa kaya,lazima uwafute. 2)salamu zangu...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Hivi hii hadithi tuliyoisoma kwenye somo la kiswahili kati ya darasa la 3 na std4 iliyokuwa inasema "MUWA WAZAMISHA MELI" hivi ilikuwa inamaanisha nini..!?
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu , naomba kutafsiriwa haya maneno mawili kwa kiswahili. Print Type.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Braza punguza mwendo. 1)achapo nikuusie,japowe mtu mzima. Sikiza na usikie,jahazi lenda kuzama. Fanya le ujiundie,hawatoacha kusema. Braza punguzaga mwendo,na mbele jitazamie. 2)jinsi le...
1 Reactions
1 Replies
835 Views
Kisa cha kweli mzuka! 1 Kisa cha kweli mzuka, ulipotajwa bungeni Ilikuwa heka heka, ninawajuza juweni Walihamaki mzuka, u wapi hapa bungeni? Ni mtihani mzuka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kisa cha kofia bungeni 1 Kisa cha sasa kofia, kimetokea bungeni Na hoja aliitoa, akilalama bungeni Kwa kina kaelezea, kadharauliwa juweni Kisa cha kweli kofia, kimetokea bungeni! 2...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
UKIWAHISI WAPIGE. 1)mnamshangaa mwewe,kuku avyo watafuna. Sema udakwe na wewe,cha moto utakiona Usemwe na ushangawe,jama lazidi kutuna Ukiwahisi wapige,hakimu akose kazi. 2)vipanga...
1 Reactions
0 Replies
882 Views
Shule zafunguliwa watoto kuhudhuria Wakubwa kwa wadogo maarifa kujipatia Pekupeku twaenda na kamasi zikitutoka Yeye atukumbatia bila kujali twamchafua Hakuna kama mwalimu jamii yote yajua. La...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Viongozi, napata shida sana kufahamu, usahihi wa uwingi wa maneno haya hapa chini, usahihi wake ni upi? Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki wangu au Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki zangu??? Nasikia wengine...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
msaada wana jamvi....... . Regard September 5
0 Reactions
37 Replies
18K Views
Jana usiku mwanangu Ngina kanistukiza na swali, akitaka kujua eti Senene wanaitwaje kwa kiingereza. Nilijifaragua, kisha nikamwambia nitamjibu baadae, hata hivyo nikamtoroka nikaenda kulala, leo...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Napata wakati mgumu sana kuelewa neno nipo/tupo kwenye mchakato linamaanisha nini hasa? Maana kila mtu analitumia atakavyo,mwenye uelewa zaidi anijuze.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waandishi wetu mupo wapi?hawa wakenya waharibifu wa lugha
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waanzilishi wa lugha ya kiswahili walikuja na maneno mengi ya kiswahili. Kuna baadhi ya maneno yalitumika kwa nadra, lakini yalipata kipaumbele kufanywa kama maneno matukufu katika lugha , kama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ILHAM Maisha ni tufe lililosheheni mduara wa muendelezo wenye visa na matukio yenye mipaka ya wakati. Imani hujenga mwanzo na mwisho. Uhalisia huzingatia kuwepo kwa mwanadamu na kuaga kwake. Visa...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Back
Top Bottom